Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mimi siyo mkakuguzi ndio maana nataka kuona financial statements za ATCL. Yani mtu anataka kutuaminisha kuwa since 2016 ATCL have never balanced their books.[emoji23][emoji23][emoji23].
Jibu swali ww ndio mkaguzi wa serekali haya tuambiwe wewe ukweli sasa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ebu pinga kama Christmas ya 2019 hukuwa Kaloleni slum in Kisumu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ww ni mtoto mdogo sana kwangu tena kwa kila kitu mzee weka akilini hilo neno [emoji28][emoji28]
 
Mimi siyo mkakuguzi ndio maana nataka kuona financial statements za ATCL. Yani mtu anataka kutuaminisha kuwa since 2016 ATCL have never balanced their books.[emoji23][emoji23][emoji23].
Ww ni mkaguzi wa hesabu wa serekali na ww ni msema ukweli baada ya kusema serekali inadanganya 🀣🀣🀣🀣 haya tueleze ukweli sasa tunasubiri kwani mumesahau kwenye corona mulisema tanzania watakufa wote imekuaje sasa 🀣🀣🀣🀣🀣🀣 yule unaemuita muongo kaonekana genius dunia nzima
 
Mimi siyo mkakuguzi ndio maana nataka kuona financial statements za ATCL. Yani mtu anataka kutuaminisha kuwa since 2016 ATCL have never balanced their books.[emoji23][emoji23][emoji23].
AtCl ni shirika lilofufuliwa within 3 yrs na sasa lina ndege 11 huku 7 zimeagizwa na bado wana invest zaidi so leo utafananisha ATCl na ile loss making company with 3 owned aircrafts miaka 40🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Ebu tuonyeshe mapato ya ATCL[emoji23][emoji23][emoji23]

Ona sasa unaendelea kudhiilisha kuwa unatumia makalio kufikiria...Mapato unaniomba mimi..,oya embu mtoeni uyo jamaa anapoelekea ataniomba hadi niende kumtoa Kenyata madarakani
 
ATCL ikitengeneza faida ya hata shilingi moja uniite[emoji23][emoji23]
 
ATCL ikitengeneza faida ya hata shilingi moja uniite[emoji23][emoji23]
Ntakuita na siku kq ikitoka kwenye loss unitag na siku kq ikimiliki ndege zaidi ya tatu unitafute 🀣🀣🀣🀣🀣
 
Acha kelele mingi bana. We want to see financial statements za ATCL. Yani shirika imetengeza hasara hadi serikali ikawa na aibu ya kutangaza[emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787]
 
Acha kelele mingi bana. We want to see financial statements za ATCL. Yani shirika imetengeza hasara hadi serikali ikawa na aibu ya kutangaza[emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787]
πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
Ntakuita na siku kq ikitoka kwenye loss unitag na siku kq ikimiliki ndege zaidi ya tatu unitafute 🀣🀣🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…