Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wakenya wamekuwa wanyoonge mno.
Hawana cha kutuonesha imebaki kelele ya Global Domestic Product, which has nothing to do with economic wealth.
Sasawa mr "global domestic product"[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Usijali hata hyo pia mtatupita
 
Kama unafuatilia vizuri, utagundua kwamba wamesema watakabidhi April 2021. Bora kuchekewa kuliko kufanya haraka lakini chini ya kiwango kama huko Kenya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Si nyie mnajifamya wababe na kuwambia wakandarasi wamalize miradi haraka iwezekanavyo..
Sgr imekuaje tena[emoji1787][emoji1787]
Au hamna hela
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…