Mbona unatumia nguvu nyingi hivi? Kwa hivyo hata sisi tuanze kuleta mipicha picha za bidhaa zinazoundwa Kenya? Hapo ndio inferiority complex imekufikisha. Unatuonyedha bidhaa za plastics?? 😂 😂Plastic pipe Factories in Tanzania
Leo mikong'oto mwanzo mwisho
View attachment 1661546View attachment 1661547View attachment 1661548View attachment 1661549
Tatizo lipo kwenye data? 😂 😂 So you know better than your own government that collects that data? Mnachekesha sanaMind you Tz now , wametoka kweny kufuga ng'ombe nying (kienyeji) na kufuga za kisasa ..japo sio nchi zima .ila tatizo lipo kweny data...ww usichoelewa nini?
Iko hapaMo amezaliwa Singida region.
Mo ana passport ya Tanzania.
Mo ni Mtanzania.
Ati masikini wa kutupwa...sehemu gani Tanzania kuna umasikini kama wa Turkana, kibera nk!
🤣🤣🤣👇👇👇
Uzi umejaa teenagers kibao wenye boxer moja ya kutoboka na smartphone yakupasuka.Mbona unatumia nguvu nyingi hivi? Kwa hivyo hata sisi tuanze kuleta mipicha picha za bidhaa zinazoundwa Kenya? Hapo ndio inferiority complex imekufikisha. Unatuonyedha bidhaa za plastics?? 😂 😂
Sasa mkianza kutengeneza bunduki hapa kutakalika kweli? Kwa kweli akili zenu haiwasaidii
Kwa hivyo hata hujui blue band is a multinational company? Hivi watanzania mnaishi dunia gani? 🤔 🤔 🤔Hata blueband siyo yao. Wakenya ni madalali
View attachment 1661532
Nioneshe ni sehemu gani Tanzania kuna umasikini kama wa Turkana, kibera nk!
Yani mtu anashikwa na nyege na kujaza server kisa Tanzania is finally producing plastic products 😂 😂 😂Uzi umejaa teenagers kibao wenye boxer moja ya kutoboka na smartphone yakupasuka.
Nionyeshe ni wapi ulisoma eti Kenya kuna 28 million extremely poor souls 😂 😂Nioneshe ni sehemu gani Tanzania kuna umasikini kama wa Turkana, kibera nk!
Mkuki kw nguruwe mtamu ila kw binadamu mchungu sio[emoji1787][emoji1787]Mo kuwa Mtanzania huwa inawauma sana na bado mtaendelea kuumia wajinga ninyi.
Onesha nilicho kuuliza na sio kujibu vitu ambavyo hujaulizwa.Nionyeshe ni wapi ulisoma eti Kenya kuna 28 million extremely poor souls [emoji23] [emoji23]
Mbona likina swala utalii hatulii km nyie wakati kw idadi tumewashinda, mkiulizwa mnasema eti hidh-end tourism..Yani hata unajiskiliza mwenyew? Ivi ng'ombe wengi wako Tz alfu maziw mengi muwenayo nyie? Narudia bongo data za maziwa hazijakusanywa vyema...wanachukua tu kwa wale wazalishaj wakubwa kama Tanga fresh, azam, asas na wengine...lkn kuna commoners wenye ng'ombe weng tu ila serikali haina data zao....so mnatushinda kwa kukusanya data sio kwa kiwango cha maziwa.
Brookside yanafika bongo acheni kujidanganyaSiku hizi hayafiki Tanzania?
Bongo sehemu gani?
Kwn hajui kwao, nani huyo asiyetaka kufuatilia ukoo wao..Ni raia wa nchi gani?
Sasa pia wataka sisi tuokote habari zenu tuweke huku, munajaza server na ushuzi.Sisi GDP 🤣🤣🤣👇👇👇👇
Kwhyo unataka kunambia jamaa tz wanafanya diary farming kisha wanauza local sio[emoji122][emoji122][emoji122]Mind you Tz now , wametoka kweny kufuga ng'ombe nying (kienyeji) na kufuga za kisasa ..japo sio nchi zima .ila tatizo lipo kweny data...ww usichoelewa nini?
Unless all these sources are lying. Show me anywhere Tanzania is mentioned above Kenya in these links:Can you prove this claim!?
Sema tu unazuga ila huo ndio ukwel, au utuketee data lini walisitisha km huaminiBongo sehemu gani?