Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

ni dawa ya meno mkuu[emoji38][emoji38].

halafu kumbe huijui kabisa,mimi nikajua uliisha ijaribu ukaipuuza[emoji28].

usijejaribu,utajidharau kwa kuchelewa kuijua.
Nina dawa nzuri tu ninazotumia mzee baba tena nazikubali sana
 
6392FA02-9C19-4D0E-B6BF-6DB1654AA166.jpeg
 
Huyu Diamond anaweza kuwa ni Mkenya.
Nakumbuka kuna siku aliwatisha atahama nchi, mbona wameacha ku burn nyimbo zake[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kuna mkuu flani hko kwao eti siku moja kasema tunawatambua watoto wa diamond km watanzania, km sio utahira huo ni nn[emoji1787][emoji1787]
 
Kenya tunaijua vizuri kuliko wewe wa Kibera, nenda Super Markets za hapo Nairobi kama hutokuta "White dent tooth paste", wewe nina uhakika hata uwezo wa kutumia tooth paste huna[emoji23][emoji23][emoji23]
Wakti alipiga mkwara ndugu yetu eti anafanya kazi kwa uhuru[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kudeki weka picha za pale unaishi, leo nakuchunisha mboga wewe.
Pimbi ww ...ile takataka ulipost sijui ni uchaf gn...nayo ni nyumba[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]funga bakul ww kilaza wa kufanya kazi kwa uhuru[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tuliza mcoondu, twende ground kama uko vizuri.
 
Nakumbuka kuna siku aliwatisha atahama nchi, mbona wameacha ku burn nyimbo zake[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kuna mkuu flani hko kwao eti siku moja kasema tunawatambua watoto wa diamond km watanzania, km sio utahira huo ni nn[emoji1787][emoji1787]
acha kumshushia mwenzio heshima wewe Tony254
 
Back
Top Bottom