Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

umeona hii,hii iko na kisasi kidogo sana cha karafuu,kiasi kwamba hata mtoto mdogo anatumia.mana haiwashi sana wala kuchubua kinywa.

hiyo colgate sikumbuki nimekutana nayo lini kama sio 2009,kitu kama hicho,wachache sana wanatumia hizo.View attachment 1661442
Nani wa kutumia white dent hku jamani[emoji1787][emoji1787]
 
Mtu akisoma huu uzi anaweza kufikiri kuwa TZ ni first world country kumbe ni shit-hole country kama zingine.
kwanini[emoji1][emoji1]

kwano vitu vilivyoonyeshwa havi exist[emoji23][emoji23][emoji23].

poleno jamani.
 
bro kampuni ya colgate kumbuka sio ya mkenya,
ile ni univers comp bythe way huku tuna whitedent hatuna shida na kampun ya mmarekani
Kaka makampuni ya Kenya 90% ni makampuni ya nje, au yabamilikiwa na wageni, tukiwanyang'anya hayo makampuni watabaki na Kibera pekee, acha tuwaachie tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Watu wakitengeza magari wengine wansherekea viberiti na dawa ya mswaki.
View attachment 1661431
Mpka sasa ni ngapi mesha uza?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]unatuonyesh kitu hata hamiliki....ona hii 100% Tz made
IMG_20200830_222614.jpg
IMG_20200830_222634.jpg
 
Back
Top Bottom