komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
Hamkua pekeyenu, emu tupe status ya wale mliopiga collabo nao kihali wako vipiTulikua busy kukomboa nchi za Africa na kujenga umoja wa Taifa letu, kufuta ukabila, rushwa na Nepitism, sasa tumemaliza hayo yote sasa hivi tunajenga uchumi wetu na tumewafikia na tunawapita.
Ninyi vipi kuhusu kujenga umoja wa Taifa lenu na kufuta ukabila na rushwa, lini mtaanza hiyo kazi, au ndio basi tena imeshindikana?![]()


Hawa mafala mimi washanishinda.

