President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 31,772
- 89,799
Nyati Cement Tanzania ya moto mno
Hahaha, mlipokataza ngano na gesi ya kupikia toka Tanzania, na mlivyokataza gari zetu za utalii kufika JKIA hukumbuki kilichowakuta?Tunaban vitu venye tishio kwetu sio huo uchafu wenu, in short hamna chakubaniwa.



Mlivyokataza gari zetu kuchukua watalii JKIA, na mlipozuia ngano na gesi toka Tanzania, hamkumbuki kilichowakuta?,Kenya huwa haicheki likija kwenye swala la maziwa.



Bidhaa gani muhimu Kenya inauzia Tanzania?, sisi tunawauzia bidhaa muhimu sana, kama Transforma za umeme, chupa za kioo, na bidhaa zingine zitokanazo na kioo, karatasi, mbao, coal, ngozi, nyama, pamba, mafuta ya Alizeti, dawa za meno za White dent, Konyagi, bidhaa za Azam, na zingine nyingi, ninyi zaidi ya Benki zenu, Sigara na Big G, nini tena mnauzia Tanzania?, Maziwa?Tanzania mna kipi cha kubaniwa, makampuni yenu dhaifu sana.


Siyo kila siku Tz vs Kenya ,
Dar es salaam vs Accra
video 
Tulikua busy kukomboa nchi za Africa na kujenga umoja wa Taifa letu, kufuta ukabila, rushwa na Nepitism, sasa tumemaliza hayo yote sasa hivi tunajenga uchumi wetu na tumewafikia na tunawapita.Halafu nyinyi mumeanza kuprocess haya mambo juzi tu. In the 1980s and 1990s mlikuwa mnaimport hadi tooth paste na sabuni kutoka Kenya. Hamkuwa na industries za maana. Sasa hivi ndio mumeanza kumanufacture products halafu unaanza kuturingia ilhali Kenya imekuwa ikimanufacture hizi products kutoka zamani na kuwauzia nyie malazy.



inauma ila itabidi mzoee tuuLakini mbona huyo mshamba Venus Star anaturingia processed products ilhali Kenya imekuwa ikiprocess products kutoka zamani? Huu ni ushamba wa aina gani? Si afadhali hata aende aringie Burundi, Somalia na South Sudan ambao hawana manufacturing industries. Sisi utaturingiaje bidhaa ambazo tumekuwa tukiprocess kutoka zamani na hata kuwauzia wakati hata hamkuwa na uwezo wa kuzimanufacture. Ama kweli maskini akipata matako hulia mbwata.





Hii Kenya yetu ina vituko sana. Kuna ripoti kuwa msichana wa miaka 19 amewapiga na kuwajeruhi polisi wawili wa kiume huko Siaya. Hao polisi wamepelekwa hospitalini. Watanzania chungeni sana maana naona mumeanza kuja Kenya kutafuta wachumba. Hata wasanii wenu wanakuja huku sana kutafuta jiko. Mjifunze karate kwanza ndio mje huku
And you are right we can't touch because none exist in the Kenyan market you export nothing to other than maize and beans at least uganda tried with latto milkYou can't touch our goods even verbally, you are afraid of Tanzania to the highest level currently![]()
In terms of milk production and assests you can combine all Tanzania milk companies but they can't beat still BrooksideIn terms of corruption or tribalism![]()