The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,667
- 98,999
Hiyo ndiyo Tanzania ndugu, nchi ina pesa hii na ina mbwembwe kweli kweli nadhani mnajionea wenyewe, gari ambalo hata uhunye hawezi panda huku kwetu anatembelea RC [emoji2][emoji2][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205]Ooh Haha. Mbona anaendesha magari makubwa kama infiniti. Yaani serikali yao inapoteza pesa kwa upuzi kama huo ilhali Wabongo wenyewe ni masikini wa kutupwa. Serikali yao inapaswa kutumia pesa vizuri.
Na bado nchi inafanya miradi mikubwa mikubwa kwa pesa za ndani unlike ur country, japo wabunge wenu wanatembea Prado lkn bado mnashindwa kulisha raia chakula, tukisema Tz ni promised land mnalia lia [emoji2][emoji2][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205]Mm nimeshangaa sanaa yani regional commissioner wa Tanzania anaendesha magari mazito kuliko rais wa Kenya wakati regional coordinator wa Kenya wana Land Rover
Ukweli hata uhuru Kenyatta hutumia v8Kwetu v8 naona ni za magavana na mawaziri km sikosei
Hahahahaa taratibu mnaanza kutii, ngj aje teargass ataanza kuwabishia kwmb hzo mlianza kutumia toka zamani [emoji2][emoji2][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205]Maajabu regional commissioner ana range rover
Ebu tuonyeshe magari ya magufuli
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Nilisahau na hii BMW RC
View attachment 1660816
We acha tu bwana, yani magari yote hayo ya nn jamani..Mm nimeshutuka sana regional commissioner ana range rover, BMW, Mercedes Benz, v8,infinity
Hujui sheria za nchi hii sindio 🤣🤣🤣Nani anayetaka kutembelea v8 za kawaida wewe, ila heri wamepigwa kalamu
Km kuendelea RC atembelee magari km matano ya kibabe basi mko mbele sana kiduniaJamii forums aloo imewaamsha sn Wakenya, walikuwa hawajui km Tz imeendelea kuliko wao maskini ya Mungu [emoji2][emoji2][emoji2]
Uhuru ako na yake ila sio ya kawaida mkuu yule ni rais lazima iwe bullet proofUkweli hata uhuru Kenyatta hutumia v8
Mishahara mikubwa alaf maisha magumu bado tena wanakwambia posho haziwatoshi🤣🤣🤣Ila kuna baadhi wamejitutumus na kununua za kwao, pia vile vile naona km ngoma drawa mbona..
Kw sababu kimishahara pia wakenya wanapokea zaidi ya wenzao
Soma nilichokiandika kwanzaHujui sheria za nchi hii sindio [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mishahara alaf maisha magumu bado tena wanakwambia posho haziwatoshi🤣🤣🤣Ila kuna baadhi wamejitutumus na kununua za kwao, pia vile vile naona km ngoma drawa mbona..
Kw sababu kimishahara pia wakenya wanapokea zaidi ya wenzao
aliekwambia velar toleo la nyuma nani 2020 hioVelar toleo la nyuma nyuma basi km ni hvo
Hata hko kwenu pia maisha magumu, tena ndipo nikakwambia..Mishahara alaf maisha magumu bado tena wanakwambia posho haziwatoshi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Maisha tanzania yako fair bro hakuna mtu asielijua hiloHata hko kwenu pia maisha magumu, tena ndipo nikakwambia..
Mbunge wa tz anatembelea gari kubwa mshahara wachini kenya mshara wa juu gari dogo..
Hali ile ile tu ya kiafrika afrika
Mawaziri wenu wanatumia prado hata magavana wenu wanatumia pradoUkweli hata uhuru Kenyatta hutumia v8
Nionyeshe wabunge wa tz wakilisha raia hko chatoNa bado nchi inafanya miradi mikubwa mikubwa kwa pesa za ndani unlike ur country, japo wabunge wenu wanatembea Prado lkn bado mnashindwa kulisha raia chakula, tukisema Tz ni promised land mnalia lia [emoji2][emoji2][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205]
Haiwezi badili ukweli km kuna watu wanateseka, haya maisha ukijiona we unakula ujue kuna mwngine hana chakulaMaisha tanzania yako fair bro hakuna mtu asielijua hilo
Hakuna nchi isokua na maskini kwanza inabidi ufahamu ila umaskini mbaya zaidi ni ule umaskini wakukosa chakula kama ilivokua kwa wakenya watu wanauwana kwa chakula cha msaada kwa kugombani, alaf mukija hapa munasifu GDPHaiwezi badili ukweli km kuna watu wanateseka, haya maisha ukijiona we unakula ujue kuna mwngine hana chakula
Mie sijaona labda unionyeshe weweMawaziri wenu wanatumia prado