Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hivi Pinako(pinnacle) vipii?
 
Saa hii bado ni debatable. Mkimaliza ujenzi basi hakutakuwa na debate. Mtakuwa na airports modern kutushinda ila airports zetu bado zitakuwa na pax ya juu kushinda zenu. Hamuwezi kutushinda katika idadi ya abiria wa ndege wanaotumia airport zetu.
Nitajie viwanja 6 Kenya vyenye runway ndefu kama za hivi viwanja vyetu! King inexpensive ukiacha JKIA hamna kiwanja kina-compete na any of remaining Tanzanian airports! We already discussed that! BTW existing Dodoma Airport is undergoing serious runway extensions while mega Msalato airport is loading!
 
Koinange sio wakumfananisha na kiba wewe, unafikiria ku afford ni sawa na matunzo yake ya hilo gari..
Presenter anaelipwa chini ya million 30 kwa mwezi unamfananisha na msanii anaelipwa juu ya million 50 per show with different business and endorsements around the world.

Kiba mwenywe akipiga show moja mombasa anamlipa huyo presenter mwaka mzima bila kufanya kazi.
 
Nitajie viwanja 6 Kenya vyenye runway ndefu kama za hivi viwanja vyetu! King inexpensive ukiacha JKIA hamna kiwanja kina-compete na any of remaining Tanzanian airports! We already discussed that!
Kwenye infrastructure mpo mbele. Iwe ni runway au passenger terminals. Hio mimi sipingi. Lakini hata hivyo bado Kenya pamoja na airport zake nzee bado ina abiria wengi wanaotumia airports zetu na itabaki kuwa hivyo hadi milele. Hakuna siku itakuja kutokea kuwa Tanzania itakuwa na abiria wengi wa ndege wanaotumia airport zenu kutushinda. Airport za Kenya pamoja na kuzeeka bado zitakuwa na abiria wengi kushinda zenu. Just because you are modernising your airport doesn't mean that your airports will overtake us in passenger numbers.
 
Duh!! Milele maana yake ni nini?
 
Mbona malazy mlichukua miaka 30 kuhama kutoka Dar hadi Dodoma? Kitu gani kiliwachelewesha?
Si bora sisi tumechukua miaka 30 kuhamia makao makuu inamaanisha ahadi tunatimiza lkn nyinyi imewachukua takribani miaka 37 mpk leo bado mnatumia jengo la mkoloni km ikulu ya nchi alaf mnasema mnataka maendeleo, maendeleo gn wakati hao mnaotegemea wakupeni maendeleo wanajua siri zenu za ndani zote.
 
AAKIA na KIA r beating Mombasa airport by far on PAX! Mwanza airport is doing the same on PAX when compared to Kisumu airport! Sasa sijui unabisha nini! Wacha ufala asubuhi hii! Hapo Arusha na Dodoma airports hazijatajwa!
 
Mbona malazy mlichukua miaka 30 kuhama kutoka Dar hadi Dodoma? Kitu gani kiliwachelewesha?
Ni aibu sn kwa viongozi wa Afrika, yn mtu anakaa ikulu miaka 10 na bado anashindwa kujenga ikulu kwa mikono yake wakati jiwe kakaa miaka mi4 tu akagundua hawezi kutumia ikulu ya mkoloni kuleta maendeleo kwa nchi yake, that's a difference.
 
Nakuomba u concentrate na issue zingine tu. Tukianza kurusha mabom mtakimbia humu.
Lilikuwa ni swali innocent tu. Sikuwa natania. Lakini naona mnapata hisia sana kwani hampendi kuzungumzia jambo hili? I wonder why?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…