Hao jamaa wanamchezo sana, magari mengine watu wanayaepuka kisa ukishalinunua ni balaa kwenda..Nakubaliana na wewe. G wagon ni ksh15 million kwa factory. Uje nayo Afrika ulipe tax ya 40% au nchi zingine hata 100% bei tayari imeshafika ksh 20 million au zaidi.
Uyo jamaa anaongea tu hajui hata anachosema,Nyie akina nani?Kodi si ndio mnakomolewa nyie
Hii itakuwa mtoto kwa MGB soon 🤣🤣Kitaeleweka lini ????🤣🤣🤣 Hebu ntajie mwaka utakaoeleweka🤣🤣👇👇👇
View attachment 1659691
Huyo chini ya milioni ksh haji, alafu hapo ka retire ndio anafanya tu kisa ywaboeka[emoji1787][emoji1787]and yet hana hata radio station pumbavu wewe! Diamond au Ali Kiba anaajiri Jeff Koinange!
pesa yote ya Jeff anatengeneza kwa show5 tuu#factWewe kasome historia ya Jeff Koinange. Kafanya hata na CNN ikiwemo ABC ya America na reuters. Wacha madharau mzee. Huyo sio radio presenter kama wengine. Huyo amepiga pesa ndefu sana. Halafu anatoka kwa Koinange family. One of the dynasty families in Kenya. Chief Mbiu Koinange alikuwa mtu mkubwa sana siku za zamani na alimiki shamba kubwa sana.
Umesahau kusema ni 2m high 🤣🤣😝😝The 3.2 km JPM bridge bttn Kigongo and Busisi
Hii mpaka yesu anarudi mtaiona "kwa picha"!Hii itakuwa mtoto kwa MGB soon 🤣🤣
View attachment 1659717
Wacha ujinga. Jeff ni dollar millionaire. Hao fukara wenu hawawezi hata kumnunulia lunch. Jeff comes from a dynasty family. Kiba and Diamond come from slums. Halafu jeff amepiga pesa ndefu huko America kwa zaidi ya miaka ishirini ikiwemo CNN. Unadhani CNN wanalipa watu pesa ya kununua mandazi? Akili kichwaniand yet hana hata radio station pumbavu wewe! Diamond au Ali Kiba anaajiri Jeff Koinange!
ulivyo mshamba hiyo si main structure that's a supporting bridge! natambua hamjawahi jenga mega bridge structures!Umesahau kusema ni 2m high 🤣🤣😝😝
pesa ndefu ipi wakati kesi ya kubaka ilimfilisi!Wacha ujinga. Jeff ni dollar millionaire. Hao fukara wenu hawawezi hata kumnunulia lunch. Jeff comes from a dynasty family. Kiba and Diamond come from slums. Halafu jeff amepiga pesa ndefu huko America kwa zaidi ya miaka ishirini ikiwemo CNN. Unadhani CNN wanalipa watu pesa ya kununua mandazi? Akili kichwani
6lanes 450m bridge 🤣🤣EA nzima hamna bridge la six lanes kama hilo! hata mtakayojenga Mombasa hayakuwa na 6 lanes!
Huyu gigi money hata sio mrembo. Sura kama samaki.
Nmesave hiiHii mpaka yesu anarudi mtaiona kwenye picha!
Ata main structure haitazidi 5 m high🤣🤣ulivyo mshamba hiyo si main structure that's a supporting bridge!
Facts ni kuwa Jeff anayo G wagon kwa miaka kadhaa sasa na Huyu Kiba ana G wagon ya kuhire.pesa ndefu ipi wakati kesi ya kubaka ilimfilisi!
muweke dadako apa tumlinganishe...Huyu gigi money hata sio mrembo. Sura kama samaki.
render sio? na hii unafananishaje na cable stayed bridge?
Hata diamond ni $ millionaire suala la alikotoka halina maana yyte...Wacha ujinga. Jeff ni dollar millionaire. Hao fukara wenu hawawezi hata kumnunulia lunch. Jeff comes from a dynasty family. Kiba and Diamond come from slums. Halafu jeff amepiga pesa ndefu huko America kwa zaidi ya miaka ishirini ikiwemo CNN. Unadhani CNN wanalipa watu pesa ya kununua mandazi? Akili kichwani
Ubepari buana. Kwa hiyo ukiwa na 4G na hiyo WI-FI ndiyo uje utuoneshe hapa! Nuie watu hamuishiwi vituko. Ubepari umezama mpaka kwenye damu.Mimi sina matatizo ya communication kama wewe. Mimi sio wa kuchezea hata kidogo. Mimi sio wale masikini wa Tandale unapoishi wewe. Mimi nina smart-phone ya 4G na pia nina Wi-fi kwa nyumba yangu.
Wacha nikupe evidence
View attachment 1659396
Kama uonavyo hapo juu kwa screen shot ya simu yangu, on the right side inasoma 4G. Na inasoma time ni 12:04.
Halafu muda huo huo nikazima 4G na kuwasha Wi-fi. Hebu tazama hapa chini kwenye screen yangu upande wa kulia utaona symbol ya wifi kumaanisha kwamba nimewasha wi-fi muda huo huo wa 12:04.
View attachment 1659399
Wi-fi yangu natumia kampuni ya internet provider inayoitwa liquid telecom na telecommunication provider wa 4G natumia Safaricom. Sasa endelea kusema kwamba niko juu ya mti nikitafuta network. Sio kila Mkenya wa kuchezea