Ndiyo maana huwa nawaambia hawa wakunya kwamba maendeleo siyo maghorofa na barabara za Nairobi tu. Tz tunajitahidi kuwekeza kwenye social services katika kila sector ya maisha kila mkoa, na wilaya na ushahidi huwa tunawakea humu humu jf lakini wao wamebaki kupost vipicha vya maghorofa ya Nairobi tu. 😀 😀 😀
World Bank wanajua wafukara wanapatikana wapi hapa Africa. Usilazimishe tufanane View attachment 1657598
Ilitoka siku ambayo mliveshwa taji la failed state[emoji1787][emoji1787]Nitajiie ni lini mlitoka "tatu bora" [emoji23]
Kawaida ya mibongolala wakibanwa. I hope you are not among the 28 million extremely poor souls in TanganyikaIlitoka siku ambayo mliveshwa taji la failed state[emoji1787][emoji1787]View attachment 1658462
hahaha hahaha
Ni hao hao World Bank ambao sasa mnawaita fakeKwani waliosema nyinyi muko kundi la extreme poverty ni nani ??🤣🤣🤣
Ukambani kwa Alfred Mtua wa chapchap sio? Yule anayejenga barabara zinamong'onyoka zenyewe!Asante Sana Uhnye 👏👏 190km of road now complete
Sh18.4bn road in Ukambani completed ahead of time
President Kenyatta is expected to officially launch the project next month.nation.africa
Ujenzi wa Madaraja na meli, ununuzi wa ndege pia!That is 21floors 🤣🤣🤣🤣 na nikupe taarifa density ya dar kimajengo ni sawa na nairobi 5 mark my words, unazungumzia road infastructure ila huzungumzii mengine kama hrdro dam of 3b usd cost, huzungumzii dodoma inajengwa kila kona wewe
Halafu sioni picha ya Uhunye! Maana yake Garissa ni part of Somalia!Hii picha nikiiona hua nacheka mwenyewe 😆😆
View attachment 1658528
Asante kwa render hio ndoto iweke mpaka 2500 tukijaaliwa 🤣🤣🤣🤣🤣