Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Truth hurts always
 
nakwambia hii mtaitembeza hadi mtachoka,huu ni mwaka wa pili sasa bado mnataarifa hiyo hiyo tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

wenzenu wanawaza mbele nyie mnawaza nyuma akili zenu zime stuck wakati mambo yanabadilika
Mwaka wa pili? 😂 😂 😂 Is that how you console yourselves? Bongolala, hii ni ripoti ya October mwaka huu(2020). Mtatafuta pa kutokea ila hamtapata
This is the link
 
View attachment 1658084askari wa Kenya(KDF) bwana😂😂
KDF ni mdebwedo sana,yaani wanakimbia pundamilia(zebra)..!!??!..🤣🤣 sasa wakikutana na mnyama 🐯🐯 si wataharisha..


Ila nawasifu KDF kwa mbio,wako vizuri,hata mujahdeen walipovamia kambi yao kule lamu KDF walitoka mbio,wakatokomea machakani,wakawaacha wamarekani wapambane peke yao,nahisi mbio ni talanta wamepewa wakenya🤣🤣..ona huyo afande anavyokimbia..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…