Reborn tkd
JF-Expert Member
- Dec 18, 2020
- 2,068
- 2,188
Jamaa yuajisifia kucheza game za simu tena offline kudadeki.
Kumbe kufunguka ndio sababu ya kuwa floating??Nimelileta hilo kusudi nikajua mtakuja mbio, sasa unasema huoni tofauti
Manake uliskia hilo la wahindi linafunguka
nashangaaTangu lini mtanzania akajua maana ya mall?![]()

So mzungu alieweka sattelite hakuona ila akaona kenya pekee ni sawa au??🤣🤣🤣kudadeki cheki uchafu huo
Nipe no ya huyo fundi plz😀😀Hehehehee onesha yako tuone, yn kila kona urembo wa gharama alafu nyani iendelee na dharau za kuita watu watoto wkt kuna mda tunafanya enjoyment pale tunapopata muda, na co uone mtu anacheza game ukadhani ni size yakoView attachment 1653343View attachment 1653345View attachment 1653349
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwenye macho haambiwi tazama, yani hapo kw gati km huoni hapana nguzo panaelea tu na bado unabisha asante..Kumbe kufunguka ndio sababu ya kuwa floating??
Una safari ndefu sana.
Nilikua sijui aina ya mtu anaebisha hapa atleast nimepata picha.
Aliyeamua kuwehuka achana nayeInawezekana kiswahili kigumu labda huelewi maana ya kuelea.
kwaiyo hapo linaelea kwenye anga au linaelea kwenye nguzo??
Maana naona halijagusa maji na limeungana na hizo nguzo za pembezoni.
View attachment 1653453
Alafu muonekano mbaya kuliko video yako ya render ulotuonesha humu.
Kwhyo unatuaminishia mtoto wa darasa la nane hawezi cheza fifa kw simu siofifa 2017 acheze mtoto,labda kama unazungumzia candy crush saga.



mtoto wa la nne kumpa game adictive namna hiyo ni kumharibu tu.Kwhyo unatuaminishia mtoto wa darasa la nane hawezi cheza fifa kw simu sio![]()
Mtoto wako kwn unamleaje wewe, hujamratibisha wewe..mtoto wa la nne kumpa geme adictive namna hiyo ni kumharibu tu.
ndio sababu kuna umri,unafaa kumpatia kila kitu anachotaka na mipaka yake sababu atakuelewa.Mtoto wako kwn unamleaje wewe, hujamratibisha wewe..
Manake kuna wakati mtoto km unamlea vizuri hawezi shika simu wala rimoti ya tv, manakw ywajua lile jicho atakalopigwa haswa wala hawezi thubutu.
Na kuna mida anajua leo hata nikichukua simu na kuanza kucheza gemu sitofanywa lolote..
Sasa km wewe mtoto wako hana ratiba shauri yako
Fala uyo nimeachana naye kwnz I doubt km hata anajua inafananaje.fifa 2017 acheze mtoto,labda kama unazungumzia candy crush saga.