Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Si mara 100 DC anawaadhibu vibaka wa samani za shule kuliko ninyi mnaocharazwa na wachina na kupigwa ngumi na wazungu 😅😅😅

Umesahau mchina mmoja aliwalaza wakenya zaidi ya 100 na kuwacharaza viboko kwenye mradi wa sgr?
🤣🤣🤣🤣 hii hapa video

 
Hehehe eti wanashindana na tanzania🤣🤣🤣👇👇👇singida hii

E7A12ADD-C792-413D-9D10-19310DBBB348.jpeg
2CBA09CE-2485-43AA-854E-0A10FA450D6B.jpeg
C63E73F7-3FEF-4C2D-9979-BED18BDFDCBD.jpeg
 
🤣🤣🤣🤣 hii hapa video


Hahahaha kuna wale wengine wa sgr walilazwa uwanjani (wamevaa uniform za blue) kabisa wengi halafu wachina wawili wanapita na bakora kwa nyuma 😅😅😅

Halafu kuna yule watchman anapigwa vibao na mzungu (zipo mbili) 😂😂😂
 
Hahahaha kuna wale wengine wa sgr walilazwa uwanjani (wamevaa uniform za blue) kabisa wengi halafu wachina wawili wanapita na bakora kwa nyuma 😅😅😅

Halafu kuna yule watchman anapigwa vibao na mzungu (zipo mbili) 😂😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
🤣🤣🤣🤣 hii hapa video


Tena mchina kamwonea huruma angepandwa na zimwi la kung Fu jamaa angekula mateke wakenya wanafikiria kila mtu wakujibizana na kufanyia dharau tena labda lijamaa liliomba rushwa ili liongezee mteja supu ya mbwa🤣🤣
 
Hivi wakenya mnaweza nunua ardhi popote na kuchagua viwanja kama hivi? Au ni kupanga tu maisha yenu yoote.View attachment 1652543View attachment 1652544View attachment 1652545View attachment 1652548
Wengi wa wakenya including hata hawa humu ndani ya jf hawana uwezo wa kumilki ardhi huko kwao has maeneo ya mijini hivyo huishia tu kupanga kwenye slums na vijumba vingine unafuu kidogo. Si ajabu hata huyu Tourgas na Gomora sasa hivi wameshawahi nafasi zao chini ya madaraja tayari kwa kupanga mifupa yao. 😀 😀 😀
 
Back
Top Bottom