Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wanaulizana maswali wanatafuta shuka kumekucha🤣🤣👇👇👇

 
nyie watu wa Bongo, ebu nielezeni kwanini CCM inawalazimisha kuwa wazalendo Kwa viboko?🤣🤣

you guys are just soo primitive, wtf is this happening in the 21st century? 🤣🤣🤣🤣


nyie watu wa Bongo, ebu nielezeni kwanini CCM inawalazimisha kuwa wazalendo Kwa viboko?🤣🤣

you guys are just soo primitive, wtf is this happening in the 21st century? 🤣🤣🤣🤣


Si mara 100 DC anawaadhibu vibaka wa samani za shule kuliko ninyi mnaocharazwa na wachina na kupigwa ngumi na wazungu 😅😅😅

Umesahau mchina mmoja aliwalaza wakenya zaidi ya 100 na kuwacharaza viboko kwenye mradi wa sgr?
 
DMU vikongwe hata kwenye reli zinakwenda huku zinayumba stability ilisha-expire long time ago. We subiri tu muda si mrefu mtasikia limepinduka kwa kukosa balance.
Aaafu ukute kwenye reli za Kenya mabonde yamejaa kama kawaida Yao hawazingatiagi ubora DMU zenyewe mwendo wa kunesa nesa mbona abiria wanazimia kwa kupandwa na pressure Bora nitembee mguu🤣🤣🤣
 
Is this a President or Primary school teacher?
IMG_20201217_203357.jpeg
 
Aaafu ukute kwenye reli za Kenya mabonde yamejaa kama kawaida Yao hawazingatiagi ubora DMU zenyewe mwendo wa kunesa nesa mbona abiria wanazimia kwa kupandwa na pressure Bora nitembee mguu
Best train transport co tu engine bali reli, ss jamaa wamenunua ma dmu lkn reli ile ile ya mkoloni so what do you expect?

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Attachments

  • Screenshot_20201217-204544_Chrome.jpg
    Screenshot_20201217-204544_Chrome.jpg
    94.8 KB · Views: 6
  • Screenshot_20201217-204516_Chrome.jpg
    Screenshot_20201217-204516_Chrome.jpg
    89.8 KB · Views: 7
Back
Top Bottom