Na ww unauliza nini hapo sasa ? Wakina diamond , vanessa, Alikiba Ray vanny tena na kuchukua alichukua kipindi ananza tuu ...ayo sio mambo ya kuongelea TzUkinijibu swali la kwangu nililokuuliza kule juu ndio ntakujibu faster sana..
Je kuna mbongo aliyewahi kuwa nominated BET?
Km ndio category gani?
Haina haja tuzungushane kabisa kw ishu ndogo km hii, manake naona unajifurukuta tu tabgu sa zile
Wacha kuongea ujinga ww[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Narudia tena, hakuna msanii yyte yule wa tanzania aliyekua nominted BET wewe km unabisha nitajie category
hako ka demu ni hasara[emoji38][emoji38]Wacha kuongea ujinga ww[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
sharks all over!
Ukiona mtu anajifanya venye huyo nguruwe anajifanya jua hicho kitu anafanya ni mara yake ya kwanza kuifanya[emoji23][emoji23]. Mbona hajaipost hapa? Mbona leo ndio akaamua kuipost?[emoji23][emoji23]we nini tulia ukalie finger usiingilie burudani za watu kwani kakuambia kuwa ni mara ya kwanza au mwisho[emoji1787][emoji1787]
Heheheee angalia huyo niliyemsajili ndiyo content yenyewe [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205]View attachment 1651955
Watu wako na PS na wewe bado unaongelea kucheza game kwa simu, angalia venye uko nyuma bado[emoji23][emoji23][emoji23]huyo kashazoea kucheza game za kupanga na ile ya panda.....[emoji1787][emoji1787]
yupo local sana achana naye
simu yenyewe anayotumia ni itel andtoid version 2.1.0
Hvi mbona munasifa nyinyi 😂😂 kwani hamuwezi post taratibu
Ujenzi kwa sasa ni km unamalizikia kabisa...
Hapa sijaelew inaman wanainua tena zile nguzo?overpass at 12 km
View attachment 1652021
[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hvi mbona munasifa nyinyi [emoji23][emoji23] kwani hamuwezi post taratibu
Kwani hizi ni slums markets? Mbona zote zipo Nairobi tu na zote zipo kwenye iron sheets slums?Westlands MarketView attachment 1651741
Hahahaha yaani unafananisha hayo magofu yenu kweli na hizi artistic markets zetu? Really?We have bigger and better markets than that godown[emoji23][emoji23]
Yeah, Hapo ni Goldstar kamata pale ukipita ukapaona utaelewaHapa sijaelew inaman wanainua tena zile nguzo?View attachment 1652051