Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wambieni wachina wauchukue basi
Watauchukua,lakini hadi miaka yao 30 ipite,pindi ambayo washapiga mchele wao wa kutosha hahaaa huyo ndo chung ching,wavimba macho,wazee wa kubonyeza kizenji hasa wakikutana na watu wapenda mserereko
 
We vp!?..kawa nominated 2020 kwa ngoma za mwaka jana,ngoma za mwaka huu subiri mwakani kama atakuwepo

Duh,swali lako limenifanya nijiulize mara 2 kwamba mziki wenyewe unauelewa kweli!
We ni mpuuzi sana kumbe, eti kawa nominated kw ngoma za mwaka upi ule[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
We unafikiria wanaposema song of the year, collabo na video zinashinda za 2019 sio..

Kumbe hata hujui BET inafanya kazi kivipi, unajua kwnn hufanyika kila mwisho wa mwaka wala sio mwanzo..
Siku ingine utachekwa na hyo kauli yako, yani mpka hili pia unataka upindishe ndio iingiliane na poin yako..
 
We vp!?..kawa nominated 2020 kwa ngoma za mwaka jana,ngoma za mwaka huu subiri mwakani kama atakuwepo

Duh,swali lako limenifanya nijiulize mara 2 kwamba mziki wenyewe unauelewa kweli!
We ni mpuuzi sana kumbe, eti kawa nominated kw ngoma za mwaka upi ule[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
We unafikiria wanaposema song of the year, collabo na video zinashinda za mwaka uliopita sio..ile ni BET 2020 na 2019 ni vitu viwili tofauti

Kumbe hata hujui BET inafanya kazi kivipi, unajua kwnn hufanyika kila mwisho wa mwaka wala sio mwanzo..
Siku ingine utachekwa na hyo kauli yako, yani mpka hili pia unataka upindishe ndio iingiliane na poin yako..
 
Sisi sio kama nyie,mnanunua treni kama mnanunua biscuits[emoji1787][emoji16]

Dah nyie jamaa ni kiboko aaisee,sijawahi ona
Endeleeni kutafuta hela za kununua treni kwanza[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Naona lkn mchina kaja kuokoa jahazi angalau na nyie mtapata hela za kununu treni
 
Sasa mimi nakuuliza maswali 2 tu,ili nione je unajua unachokizungumzia!
1.kaligraph alitokea kwenye category ngapi?
2.ni category gani alikuwa nominated?

Jibu hayo maswali nikufundishe kitu mrembo
 
Watauchukua,lakini hadi miaka yao 30 ipite,pindi ambayo washapiga mchele wao wa kutosha hahaaa huyo ndo chung ching,wavimba macho,wazee wa kubonyeza kizenji hasa wakikutana na watu wapenda mserereko
Kazi ya ppp hyo sasa, au we ilikua watakaje labda ukienda mahakama ya EA utaskizwa[emoji1787][emoji1787]
 
Location halis bado lakini maeneo ya mwenge idea nzuri 👍
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…