Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

So umepanic [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] leo google earth inadanganya wallah leo umenithibitishia kua ww ni fala sijapata kuona
Kama wewe ni mwanaume ebu tuonyeshe the last time they updated their website[emoji23][emoji23][emoji1787].
 
Kama wewe ni mwanaume ebu tuonyeshe the last time they updated their website[emoji23][emoji23][emoji1787].
Ingia google earth usiniambie mm huna bundle unakua mjinga kabisa 🤣🤣🤣🤣 alaf unajiaifu sijui ww engineer labda wakutengeza zile jualaa munazotumia kuwekea vinyesi kibera
 
Sasa Two Rivers ndio imekupatia hasira hivi?[emoji23][emoji23][emoji23] Mbona unaogopa kutuonyesha tarehe?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ingia google earth usiniambie mm huna bundle unakua mjinga kabisa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] alaf unajiaifu sijui ww engineer labda wakutengeza zile jualaa munazotumia kuwekea vinyesi kibera
 
Mtu hajui hata google earth inafanyaje kazi alaf anajifanya mjuaji wa kila kitu 🤣🤣🤣
 
Mtu hajui hata google earth inafanyaje kazi alaf anajifanya mjuaji wa kila kitu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Leta tarehe, mbona wewe muoga kama mama?[emoji23][emoji23][emoji23] Alafu hata kuniquote pia imekushinda[emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Wewe ni mpumbavu! Kwani watu wanaishi ndani ya station? Station ni sehemu ya kupita na ukubwa wake uko determined by the frequency of use! Station za Dar na Morogoro Ndio kubwa zaidi kwasababu ni miji yenye Idadi kubwa ya watu hivyo usafiri katika miji hii ni very frequent. Sasa wewe kichwa boga unataka kuniambia mji kama Ngerengere unatakiwa uwe na station kubwa kama ya Morogoro? Hivi una akili kichwani?
Huyo ni mkenya namba mbili kwa upumbavu humu.

1. Teargass

2. Komora

3. Nicxie

4. Magix Enga a.k.a janerose

5. Yosef festo

6. Zig lizla

Majinga sn [emoji3516][emoji3516]
 
Sasa Two Rivers ndio imekupatia hasira hivi?[emoji23][emoji23][emoji23] Mbona unaogopa kutuonyesha tarehe?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
🤣🤣🤣🤣👇👇👇👇 huyu hapa sio mm niliesema usinilaumu mm wala usiniletee hasira mm zungumza na technology
F0568514-DD20-4D3B-9956-F2F8CBAF4D9F.png
 
Back
Top Bottom