Wewe ni mjinga ndio mana hata nchi yenu ilishindwa kujenga bus station leo ...mchina kawadangany na mastation yasio hata na biashara zaidi ya wasafiri uko hapa kupiga mayowe, kweli akil ni maliMatumizi sahihi ya akili ni kujenga kibanda cha kuku katika mradi wa takribani miaka 50 na kwenda sio[emoji1787]
Au bado nyie mnaendekeza rural urban migration hadi hivi sasa, tuelezeni tujue jamani
Alaaa!!naona unakwepa mada sio kw kujitoa ufahamu, hapa hata ukanengua kivipi wazew wa media kwenu wakija kenya wanaonekana km walalahoi ukiwalinganisha na wenzao hukuOneni hii certified nincompoop.
Najulia wapi mishahara ya watu?
Huo umbea uliupatia wapi?Wewe ni mjinga ndio mana hata nchi yenu ilishindwa kujenga bus station leo ...mchina kawadangany na mastation yasio hata na biashara zaidi ya wasafiri uko hapa kupiga mayowe, kweli akil ni mali
Kukuambia najualia wapi mishahara ya watu ndo kukwepa mada!Alaaa!!naona unakwepa mada sio kw kujitoa ufahamu, hapa hata ukanengua kivipi wazew wa mdeia kwenu wakija kenya wanaonekana km walalahoi ukiwalinganisha na wenzao huku
Mda mwingine huwa unafikiria kwa kutumia nini ww...[emoji848]unatia mashak sn....kwani uliambiwa hapo ni mahali pakuishi au ni station?Zizi hilo, baada ya miaka kadhaa mnavunja[emoji1787][emoji1787]
Sema hutaki manake ni aibu thats why unakwepaKukuambia najualia wapi mishahara ya watu ndo kukwepa mada!
Endelea kuota.
Kwani pale mbezi mnaenda kuishi, alafu magu anajua biashara kubwa kwenu ni ya mabasi..Mda mwingine huwa unafikiria kwa kutumia nini ww...[emoji848]unatia mashak sn....kwani uliambiwa hapo ni mahali pakuishi au ni station?
Endelea kuota certified nincompoop.Sema hutaki manake ni aibu thats why unakwepa
Hahahaha yaani hata video za wasanii wao zenye views zaidi ya million 3 ni za kutafuta kwa torch 🔦😂😂Kama Yule kichaa Mashalove ana followers wengi kuliko ma celeb wengi Kenya 🤣🤣🤣
Wana followers kibao lkn wengine hata kodi ya nyumba wanshindwa kulipa[emoji1787]Kama Yule kichaa Mashalove ana followers wengi kuliko ma celeb wengi Kenya [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
siwezi kukufanyia kazi ambayo ni jukumu lako wewe umelala tu.Mwaka huu imeleta hasara ya shillingi ngapi engineer
Wasanii wetu wengi wao mziki kwao ni side hustle, kwhyo hata hawashtukiHahahaha yaani hata video za wasanii wao zenye views zaidi ya million 3 ni za kutafuta kwa torch [emoji363][emoji23][emoji23]
labda wasanii wenu[emoji38][emoji38]Wana followers kibao lkn wengine hata kodi ya nyumba wanshindwa kulipa[emoji1787]
Punguza hasira basisiwezi kukufanyia kazi ambayo ni jukumu lako wewe umelala tu.
hasira za nini sasa!!!Punuza hasira basi
Sijui km akili yako iko na akili au imenda likizo...kwa mara ya mwisho narudia ,nchi ikiwa na penetration kubwa ya internet manake users pia watakuwa wengi kitu kitakacho pelekea hata wale watu marufu katika nchi flani kuwa na followers wengi...kama hujaelewa nenda kafwate ada yakoSema kukomalia vitu wala sio internet penetration, internet penetration maana yake sio followers midanganyika[emoji1787][emoji1787]
Rudi shule ua hta u google basi
Nitajie msanii wetu ambae yupo kw lime light alafu anatesekalabda wasanii wenu[emoji38][emoji38]
Ila kwenye zile statistics zenu za mapishi zinaonesha wapo watumiaji wa internet million 45 Kenya 😂😂😂😂😂Wasanii wetu wengi wao mziki kwao ni side hustle, kwhyo hata hawashtuki
siwajui hata mmoja[emoji23][emoji23]Nitajie msanii wetu ambae yupo kw lime light alafu anateseka
kweli kabisa yaani ni wengi sana........Kabisa, tena wengi wa kutoka tanzania