Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Yes, haya ndio makazi ya watu wa kipato cha chini, hizo nyumba zote ni blocks, sio mabanda ya bati, zina madirisha, kila nyumba kuna choo, kuna barabara za gari kufika, kuna mfumo wa kukusanya takataka, kuna maji ya bomba na mifumo ya maji machafu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hizi nazo vipi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]eti makaazi ya kipato cha chini, si ungeliita kijiji kabisa manake hzo sehemu wanamiliki..
Mtu anayemiliki kiwanja nairobi hawezi jenga huo utopolo aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…