Pedestrian wapi hapoBRT phase 2 with pedestrian foot bridge[emoji116][emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 1649696View attachment 1649697View attachment 1649698View attachment 1649699View attachment 1649700View attachment 1649701
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa Dodoma kua capital city huwezi kuzuia reli ya Dom - chuga na ikiwezekana hata Dom - Iringa - Mbeya, hata wakishamaliza tanga-chuga-musoma still hiyo route ni muhimu hata usipoona umuhimu now utauona miaka michache ijayo.Ubinafsi huanza hivi uwanja ulio 43 km toka Arusha unasema mbali wakati mpango wa kuanzisha safari ya reli KIA-Arusha upo mbioni? Mwenzio Sumaye alipokuwa Waziri Mkuu alijaribu hili akashindwa! Na ati mtu kwenda Arusha apitie Dodoma hiyo ni jiografia ipi? Wakati kuna bandari ya Tanga underutilized? hivi sio nyie mnaouponda uwanja wa Chato? Reli inayohitajika ni ile ya kutoka Tanga na kwenda Musoma, Arusha inahitaji bomba la gesi pia! Hivyo unavyotaka wewe havina prospect!
Hapo kazi tu, huku kwetu ni upuzi wa bee bee eye na ufujaji wa pesa za umma.
Yaani ijengwe airport kwa ajili ya Longido Utasubiri sana mzee!Kwa Dodoma kua capital city huwezi kuzuia reli ya Dom - chuga na ikiwezekana hata Dom - Iringa - Mbeya, hata wakishamaliza tanga-chuga-musoma still hiyo route ni muhimu hata usipoona umuhimu now utauona miaka michache ijayo.
Kuhusu hiyo KIA kwa position iliyopo bado kupambana na JKIA ni ngumu maybe hiyo reli unayozungumzia na iende hadi longido sio iishie Arusha mjini.
Note: Mimi sio mtu wa Arusha mkuu bali Kilimanjaro so point yangu hapa ni kuipa Arusha power ya kutosha kutoa jasho Nairobi, KIA hadi Loliondo ni 220+ km but to JKIA to Loliondo ni 160KM na hapo hujafika border
View attachment 1649822
umekula mzee.....?Ngong' is a high quality road in Nairobi, it's better than any road in Tanzania[emoji23][emoji23]
Hapo ni CBD[emoji23][emoji23][emoji23]Hahahaha hiyo ni Mombasa CBD yote yaani hapo ni 70% ya Mombasa yote [emoji23][emoji23][emoji23]
Hizi je? Tueleze zinamalizikajeKweli mkuu slums Nairobi huwezi ukamaliza Bora kwetu uswahilini changamoto zetu tofauti na za hawa jamaa mboga za majani kuanzia matembele,Chinese,bamia,nyanya chungu etc ziko affordable nivigumu kumkuta mbongo amelala njaa au Kala mlo mmoja japokua wapo wanaolala njaa lakini sio kwa style ya majirani zetu
DRC iyo co Bongo.Hizi je? Tueleze zinamalizikajeView attachment 1649853View attachment 1649854
Msemaji wa marioo upo[emoji23][emoji23]
Kama utaki aya.Msemaji wa marioo upo[emoji23][emoji23]
Nina video ya nyondo jichanganye tu
Kwn hii ni nyingine co ile ya jamaa yenu mkongo.wanaleta ushindan sasa na MV Amn .. private sector
Nina songs nyingi sana za underground wa bongo..
Cc: Teargass Tony254 komora096Hapo kazi tu, huku kwetu ni upuzi wa bee bee eye na ufujaji wa pesa za umma.
Naona umeamua kifunguka[emoji23][emoji23]Hapo kazi tu, huku kwetu ni upuzi wa bee bee eye na ufujaji wa pesa za umma.