Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hahahaha hiyo ni kariadudu au kaliadyudyu 😅😅😅😅
 
Na hapo ume orodhesha baadhi tu sidhani hata kama nusu umefika [emoji23][emoji23][emoji23]
Kweli mkuu slums Nairobi huwezi ukamaliza Bora kwetu uswahilini changamoto zetu tofauti na za hawa jamaa mboga za majani kuanzia matembele,Chinese,bamia,nyanya chungu etc ziko affordable nivigumu kumkuta mbongo amelala njaa au Kala mlo mmoja japokua wapo wanaolala njaa lakini sio kwa style ya majirani zetu
 
Nazani teargass atakuwa anakaa slum ya pili kutoka mwisho [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lang'ata sijaiona hapo home kwake Teargass
 
SGR Dom - Arusha ni karibu kuliko Tanga kwakuwa DSM - DOM Tayari. Mpaka waje kujenga Tanga - Arusha huwezi jua ni lini wataanza na hata wakianza still route ya dom-chuga ni muhimu kulink arusha to dsm, mwanza, kigoma, na mikoa mingine. Bidahaa zinazopatikana Dar ukienda chuga ni bei sana ukizingatia bandari ya dar ni hub
kuhusu KIA - Ili kuipa hadhi Arusha inatakiwa terminal zaidi ya iliyopo now na kufanya hivyo ni bora iwepo Arusha tu, KIA iko mbali sana na baadhi ya maeneo kama longido, n.k. Mbona kuna mwanza airport halafu wakajenga ingine chato?
Kuhusu maghorofa - kama wapo watu binafsi mbona hawajajenga? na swali limeuliza serikali ifanye nini
 
Ubinafsi huanza hivi uwanja ulio 43 km toka Arusha unasema mbali wakati mpango wa kuanzisha safari ya reli KIA-Arusha upo mbioni? Mwenzio Sumaye alipokuwa Waziri Mkuu alijaribu hili la kujenga uwanja mkubwa Arusha akashindwa! Na ati mtu kwenda Arusha apitie Dodoma hiyo ni jiografia ipi? Wakati kuna bandari ya Tanga underutilized? hivi sio nyie mnaouponda uwanja wa Chato? Reli inayohitajika ni ile ya kutoka Tanga na kwenda Musoma, Arusha inahitaji bomba la gesi pia! Hivyo unavyotaka wewe havina prospect!


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…