Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wote ni wezi[emoji23][emoji23][emoji23], hata Ichoboy pia alishaiba picha za Kenya[emoji23][emoji23][emoji23]
Ichoboy muelewe yule, jamaa akili zake hazifanyi kazi kabisa..
Jamaa siku hiz namuona twitter akijisumbua kwel
 
Tena kuna siku jamaa wameiba mpka jets sijui za egypt zile na za kenya
ii ndo jeshi ya kenya [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]cheki walivyo choka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
20201213_162725.jpg
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nakuru noma kuliko ata mwanza wanatamani iwe yao
Nimecheka sana[emoji23][emoji23]
 
Yaani Misa anapata attention kubwa kichizi 😅😅😅

Wanasema Tanzania tunapenda udaku? ktn inamhost Misa then wanatuita wadaku 😂😂😂
Bro nikikwambia mariamu Biriani,na Yule chizi amaber rutty na mume wake muosha mitaro wanafollowers wengi kushinda ma star wengi wa Kenya utashanga😂😂😂😂😂
 
wanapenda muziki wetu,showbiz, ligi yetu, miundombinu yetu, tour destination zetu, wanapenda kuishi kwetu,wanapenda chakula chetu, mademu zetu, wanaume wa tz, wanapenda kufanya kazi tz, hata viongozi wetu wanawapenda......listi na iendelee [emoji16][emoji16]
[emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241]baby


Teargass komora096 MK254 kikihboy hiii tuiitaje?
Ila mademu wetu walishawashutaka zamani labda awe wa guest house😂😂😂😂😂😂
 
Sasa nyinyi mtaongoza vipi kwenye electrification rate ilhali kuna nchi kadhaa hapa Afrika ambazo zina higher electrification rate kuwashinda? Ama pengine huelewi maana ya electrification rate. Sitashangaa ikiwa huelewi tunachozungumzia.
Kwani waliosema Nigeria inaongoza walikuwa wana maana gani, tuanzie hapo kwanza.
 
Bro nikikwambia mariamu Biriani,na Yule chizi amaber rutty na mume wake muosha mitaro wanafollowers wengi kushinda ma star wengi wa Kenya utashanga😂😂😂😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ni aje mwizi, umerudisha hile picha?[emoji23][emoji1787][emoji23]
 
Back
Top Bottom