Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Toa uchafu hapa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
View attachment 1602585
Hizo zote hizi gharama yake haifikii hii inauma sana[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]
tapatalk_1602880112843.jpeg
 
Kuna mtu jana kapost mitungi ya jeshi akadhani wanatukaribia, now nimempa hom work hakubali kushindwa kwamba yale madege yapo Tz tu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Ona venye kamechoka, ni hile tu moja hakuna ingine [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Ebu nionyeshe another one with adifferent registration number juu nimeskiaukisema ziko mbili wakati naona tu moja.
Wasomi kote duniani ukimpatia credible source huwa anakubali hata kwa shingo upande anakubali na harudii tena ss ww unasema ni nurse it means japo una ka diploma, ss mbn huoneshi kwmb ni msomi unapingana na credible source [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3]
Screenshot_2020-10-16-23-15-49.jpeg
 
Siku Magufuli amenunua hizi chopper ndoniliamini kuwa my president knows better the Art Of War..
Sisi watz wala hatuna majigambo huwa tunawaacha waongee, wajiweke rank za juu ila siku wajichanganye waguse wanate, kwnz hapa hatujagusa kabisa TPDF ni siri kuna technology kubwa pale TPDF ila tumekausha.

Hata hata ma helicopter ya kisasa tumeyanunua kmy kmy hata Wakenya hawajui ila wakituchokoza tunawatisha japo kidogo wasituzoee zoee [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Wasomi kote duniani ukimpatia credible source huwa anakubali hata kwa shingo upande anakubali na harudii tena ss ww unasema ni nurse it means japo una ka diploma, ss mbn huoneshi kwmb ni msomi unapingana na credible source [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 1602636
Mimi sijapingana na mandiko, napingana na hiyo picha umeweka hapo. Leo nimegundua wewe ni mwizi wa mapicha kuliko kila mtu hapa JF 🤣 🤣 🤣
 
Sisi watz wala hatuna majigambo huwa tunawaacha waongee, wajiweke rank za juu ila siku wajichanganye waguse wanate, kwnz hapa hatujagusa kabisa TPDF ni siri kuna technology kubwa pale TPDF ila tumekausha.

Hata hata ma helicopter ya kisasa tumeyanunua kmy kmy hata Wakenya hawajui ila wakituchokoza tunawatisha japo kidogo wasituzoee zoee [emoji3][emoji3][emoji3]
Mbona unapenda kuiba mapicha za watu kwa Tanznai hakuna ndege?😂😂😂😂
 
Mimi sijapingana na mandiko, napingana na hiyo picha umeweka hapo. Leo nimegundua wewe ni mwizi wa mapicha kuliko kila mtu hapa JF [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Safi sana km umekubali H215 cougar ipo [emoji122][emoji122]
 
Mimi sijapingana na mandiko, napingana na hiyo picha umeweka hapo. Leo nimegundua wewe ni mwizi wa mapicha kuliko kila mtu hapa JF [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Jamani wakuu mbn mnalala kuja muone nnavyomlala Teargass uku yn najipigia vile nataka, yn nakula kubwa nakula ndogo vile naweza [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom