Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Copycut ya nairobi terminus, ndio muelewe sasa km jiwe miradi yake yote ni kutaka kushindana na kenya hamna lingine
copycat how? Mbezi bus stop has over 7 floors and buses drop and board passengers at 2nd floor! U don't have that at Nairobi Terminus! As far as cladding is concerned Dar has had cladding in buildings even before Nairobi! The only thing that makes them look similarto that tiny Nairobi Terminus is that orange color!
 
Copycut ya nairobi terminus, ndio muelewe sasa km jiwe miradi yake yote ni kutaka kushindana na kenya hamna lingine
Kwaiyo Miradi Mikubwa kama Bwawa la Umeme la kuzalisha MW 2100 kwa pesa za ndani, cash, the New Salenda Bridge, 3Km Kigongo Busisi Bridge in Mwanza, Dooma Modern international Airport, Dodoma Ultramodern Stadium yote hii na mingine mingi JPM anashindana na Kenya?
 
Nimesha save hii comment yako, si unanijua mm zen baadae nitakuwekea hapa.

Niko confident na hii kitu cz nna jamaa yng yeye yupo ktk kampuni inayojenga ubungo interchange na ndio waliopewa tenda ya kujenga hilo daraja la jangwani.

Na teyari labours wameshaanza kuchukuliwa kwa ajili ya mradi [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Kibaha highway inajengwa na Tanzanian company ESTIM nyie mnajengewa na wachina projects zenu zote, miaka michache ijayo kampuni yetu itazidi kuwa more efficient so tumefika hapa kwa ss[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Hapo wakenya mlibugi, asa juu mlienda kufanya nn wakati treni iko chini huku heheeeView attachment 1648458
Wana maajabu sn hawa jamaa, alafu kidizain km wachina washawajua haya ni mapopoma yanayopenda sifa za kijinga ndo mana wanayapiga tuu, eti jitu linapanda juu wakati stesheni ipo chini [emoji3][emoji3]
 
Mbona hii bridge ni ya kawaida sana? Sasa inakupa nyege kwa nini?
 
Ni hicho tu kinawafanya watamani kufananisha Nairobi terminus na Mbezi bus terminal.

Imefika wakati sasa wakenya wanapambana kulazimisha ufanano [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Huwa nawambia ubabe ni swala la muda,na dharau zina mwisho wake tena naomba waendele na uongozi walio nao sahivi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Bro endelea kuota kwamba nyinyi mtakuja kupita Kenya.
 
Nyie mnayo hiyo inayoelea?[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Section ya Likoni bridge (150 metres)inaelea kwa kutumia pontoons. Na hii section haielei tu bali inajifungua na kujifunga kwa kutumia motor. Sasa nionyeshe bridge kama hio Tanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…