Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 16,258
- 35,721
Umechange gia angani,mwanzo ulikua unadai hao ni wale waiba biscuit wenu,ulipojua sio wao unadai silaha zimezeeka,kwenye mafunzo tutumie silaha gani pimbi weweUmeona venye mko na silaha zenye zimezeeka?[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hiyo jeshi ni maskini for real[emoji23][emoji23][emoji23]
Nunueni silaha bana[emoji23][emoji23][emoji23]. Yani kazi ni kungoja hili mupewe vitu za bure[emoji23][emoji23][emoji1787]Halafu cha kuchekesha ni kuwa magaidi wa Somalia wanatumia silaha zilizozeeka zaidi ya hizo na wanawapapasa left, center and right [emoji23][emoji23][emoji23]
Most of your weapons are outdated.Umechange gia angani,mwanzo ulikua unadai hao ni wale waiba biscuit wenu,ulipojua sio wao unadai silaha zimezeeka,kwenye mafunzo tutumie silaha gani pimbi wewe
Ukitaka kujua floating bridge ni kitu gani,kitu cha kwanza kabisa uelewe maana ya neno "float" kisha "floating"Kw akili zako floating bridge ni nn, angalau nataka kujua uwezo wako wa kung'amua mambo wala sio kupiga porojo tu
Nikakujibu hivi ikabidi ubadilishe gia.Ebu tuambie hiyo ni jeshi la wapi kama sio ya Kenya?[emoji23][emoji23][emoji23]
Ulivyo kuwa unangangania kuwa hilo ni jeshi la kenya hukuona haya uliyo yaandika hapa?Kwa hiyo siku hizi jeshi lenu linavaa gwanda za JWTZ! View attachment 1647663
Heri mjinga unaweza mfundisha akawa mjanja ila mpumbavu [emoji23][emoji23][emoji23]Nunueni silaha bana[emoji23][emoji23][emoji23]. Yani kazi ni kungoja hili mupewe vitu za bure[emoji23][emoji23][emoji1787]
Do you know the meaning of showcasing?Opinion?!?? Hujaona picha alizoweka mwenzako,makamanda wapo photo shoot studio![emoji1787][emoji1787][emoji38]
Ndo maana mujahdeen,wazee wa al-kasusu wanawajambisha ile mbaya kwa hakuna kamanda hapo,wote ni mabishoo,wauza sura,wazee wa maphoto kama diamond au konde boyyy
Bado nilikuwa nashangaa ni aje Kenya ikuwe na silaha zimezeeka hivyo[emoji23][emoji1787][emoji23]. Bahati nzuri mkasema hizo ni silaha za Tz[emoji23][emoji23][emoji1787]Uliandika hivi. Nikakujibu hivi ikabidi ubadilishe gia. Ulivyo kuwa unangangania kuwa hilo ni jeshi la kenya hukuona haya uliyo yaandika hapa?
Heri mjinga unaweza mfundisha akawa mjanja ila mpumbavu [emoji23][emoji23][emoji23]
Random youtuber uploaded the video to gain viewsKwa hiyo siku hizi jeshi lenu linavaa gwanda za JWTZ! View attachment 1647663
Kwnza jwtz wanaujua mziki wa RPGHalafu cha kuchekesha ni kuwa magaidi wa Somalia wanatumia silaha zilizozeeka zaidi ya hizo na wanawapapasa left, center and right [emoji23][emoji23][emoji23]
Swadakta, kwhyo ilkua wajua mbna basi wajitoa ufahamu km ilkua una uelewa..Ukitaka kujua floating bridge ni kitu gani,kitu cha kwanza kabisa uelewe maana ya neno "float" kisha "floating"
Ukishindwa kuelewa kabisa,muone nixcie akueleweshe,maana huyo English anaijua kiasi
Achana na teargas atakuambukiza ukilaza
Museveni tu mmemshindwa,na mingingo island kawapora..na mkia mmeufyataWe don't fight the poor, we console them[emoji23][emoji23]
Asante kwa render🤣🤣🤣🤣Mariakani three level interchange na bado wabongolala wanatakashindana na Nairobi huku Mombasa ikiwacha Dar slum kwa kasi kama ya umemeView attachment 1647646
Sent from my Infinix NOTE 2 using JamiiForums mobile app
Kwnza jwtz wanaujua mziki wa RPG
Mkuu nimeambiwa hzo 90% ni ghorofa[emoji23][emoji23]Unataka Nairobi ifanane hivi?[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]View attachment 1647662
Sasa unataka tupiganie migingo kwani nini iko huko?[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23] We are aiming for oil wells along Somalia coastline wewe unakuja na mambo za migingo, huko hatuezituma hata watchmen[emoji23][emoji23]Museveni tu mmemshindwa,na mingingo island kawapora..na mkia mmeufyata
Juzi hapa ethiopia kadungua ndege zenu,na kajitangaza kabisa..lakini mmeogopa mmeunyuti kimyaa as if nothing happened..!
Nyie ni hopless tu,na tz hamuiwezi,pambaneni na hao vijana wetu wa ki-tz waliopo mujahdeen mujarab
Huyo mwenye alikuambia macho yake iko sawa kweli?[emoji23][emoji23][emoji1787]Mkuu nimeambiwa hzo 90% ni ghorofa[emoji23][emoji23]
Kuna mmoja naona akisema eti wapo msumbiji kisiri hta wale magaidi waliwaua jwtz lkn credit wakawapa msumbiji..JWTZ ni wa kuchinjwa na panga kama kuku[emoji23][emoji23][emoji23]
Kama tu wanamgambo wa Somalia wanatumia silaha zilizozeeka na wanawapapasa hamna hamu nao imagine wangepata silaha za kisasa [emoji23][emoji23][emoji23]Bado nilikuwa nashangaa ni aje Kenya ikuwe na silaha zimezeeka hivyo[emoji23][emoji1787][emoji23]. Bahati nzuri mkasema hizo ni silaha za Tz[emoji23][emoji23][emoji1787]
Ila walikimbilia machakani!!..na wachache waliobaki wakafir.wa,kisha wakauliwaKDF hawajainyang'anywa tanks venye mlinyanganywa kule Mtwara[emoji23][emoji23][emoji23]