Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unajua maana ya modern au huaga hko tz mnafundishwaje haswa, mbna mnapenda kuropoka tu jamani..
 
Ndio hii double track SGR ya Nigeria iliyoanza testing juzi. Imejengwa na Wachina. Nataka kusikia ng'ombe za Kitanzania zikicheka SGR ya Nigeria.

kuwepo nigeria haina maana nyinyi na wao mlifanya jambo la msingi.

Kenya,Nigeria ni nchi pekee hapa africa zinasifika kwa rushwa naambo mengine ya kipuuzi.
 
Sisi tunajenga flyover ya kilomita zaidi ya kumi na wewe unaongea kuhusu hiki kidude ambacho hata hakijafikisha kilomita moja kwa urefu? Hata huna aibu
Mnajenga au wachina wanajenga, maana yake ni 100% their money, their design, their terms and their project, nyie kazi yenu ni kubeba matofali a kulipwa ksh 200 per day,
Uhuru Kenyatta ashapiga 1% yake long time.
 
We unaiita KQ white elephant na wakati ile faida iliingia in a row air tanzania labda imalize miaka hamsini
Bahati yako, I don't abuse women in my life,
ATCL owns a fleet of brand new 11 Planes plus 5 on order, KQ owns 3 aircrafts, a reason of massively making loses over a century,
By the way, av been flying with KQ in most of my trips to Nairobi, they are good kwa onboard Services. Only corrupt management is what fails Kenyans.
 
Aisee nimeenda december 2019, sina updates, nimemiss Arusha na Moshi ule mji mtamu sana wa Wachaga
Mambo ya Redstone nn jembe [emoji16][emoji16][emoji16]mekus,Malindipub,Nssf underground pale mambo ya moshi ni super sana ....kule unapiga nyama bia ndizi kwa sana ukiweza unajaribu na mbege hivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…