Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Bonge la video,nmependa Sana iyo scene ya oysterbay na izo road zitakua pana zaidi,btw I wonder kwann wanaita mombasa city[emoji23][emoji23][emoji23]
After watching this short video I can confidently say that Nyali is better than oyesterbay
 
Joto lakini inawezekana kuwa ni stations pekee zitakazoinuliwa juu na brt yenyewe ikawa chini. Bado sijaona hio design yake. Wacha tutajua baadaye. Ila fact ni kwamba Brt inajengwa Kenya na wala sio mambo ya kupaka rangi.
Sio tu haitakuwa elevated bali pia haitokuwa concrete, ni rangi tu ndio mtapaka.
 
Nice kma ni afforda affordable kweli ila project zenu nyng zinaishiaga renders au foundation kazeni buti
Hujui unachosema. Wewe nadhani unaidharau Kenya sana. Usichokijui ni usiku wa giza. Tembea Kenya uwache kudhani Tanzania ni ulaya.
 
Una render au progress ya JKCI Mloganzila?
 
Sio tu haitakuwa elevated bali pia haitokuwa concrete, ni rangi tu ndio mtapaka.
Lazima barrier itajengwa pia kuseparate brt lane na lane zingine. Sio mambo ya kupaka rangi bali ni kujenga barrier. Punguza ushamba.
 
Kweli hawa jamaa wana wivu, walikua wakipinga ujenzi wa BRT lkn sasa wanakataa km ni ya juu kw juu[emoji23][emoji23]
Kuna kitu nmejifunza kwmb wakenya mnatuonea wivu mno kwa maendeleo tuliyoyafikia so far mana mlikuwa mnasema you don't need brt now u have changed the motion kwmb mnashangilia [emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…