Uzuri umeshakubali kimya kimya hayo mengine tunasema ni maruerue tu ya sindano zilizopenyaHahahaaaa so mnaipaka rangi Thika road pale katikati zen mnaandika "only brt" naona kuna watu wanaenda kula pesa ya kutosha hapa.
Wakenya nawaonea huruma sana cz viongozi wenu hawana uzalendo kabisa, wamekurupuka ili kwenda sawa na Tz [emoji3][emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli hawa jamaa wana wivu, walikua wakipinga ujenzi wa BRT lkn sasa wanakataa km ni ya juu kw juu[emoji23][emoji23]Naona sasa uchungu na wivu imeanza kuingia. Sasa ndio umejua kwamba sisi huku hatuchezi. Yaani tunajenga Brt iliyoinuliwa juu na wakati huo huo tunajenga expressway iliyoinuliwa juu.
Expressway pia mlipinga hvo hvo, sai mumeumbuka..Article haisemi kwamba mtainua pillars for brt lanes bali mtatumia Thika road which means mtapaka rangi, hiyo footbridge uliyoweka hapo ita act km station [emoji3][emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
We ni wa kupuuzwa tuHata iyo pia ni wachina ndo watapaka rangi Thika road iwe ina brt lanes, yn pesa ya kupaka rangi na kujenga vi station watatoa wachina [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
$180m si kwenu ilkua mpka mabasi labda, kwetu hzo zimetolewa kw ajili ya ujenzi tuAkili kubwa inapimwa kwa uwezo wa lufanya "independent analysis not quotations", kama nilivyokuonyesha "how Lamu port shall turn to be white elephant".
Unanishangaza sana, umeshindwa kuelewa nini nimeandika wakati ninazunfumzia gharama za BRT Tanzania kwamba ni$180M, kwamba kama ingekua Kenya huenda gharama ingekua ni mara mbili ya hiyo $180M, unaleta habari za $51M ambayo haijatajwa kabisa katika hiyo post yangu. Hovyo sana wewe jamaa.
Na ukumbuke kutoka kenya to southern part ya ethiopia ni karibu kuliko hko eritrea mpka southern ethiopia..Yes, 90% it is white Elephant. Ethiopia needs to pay Chinese loan, it cant use Lamu port because.
1)It must use its railway to Djibout to pay the Chinese loan, the same way Kenya forces all cargo to be carried by SGR
2) It is cheap to use railway than road.
3)Eritrea port is much closer than Lamu port.
Haya tuseme yetu ni ya chini wala sio ya juu kw sababu hata muundo hatujui upoje..Soma vizuri, madaraja ya kuvuka kwa miguu ni part ya hiyo Thika road BRT, ni sehemu ya hiyo Ksh 5.6B. Sisi tulijenga 21Km ya kawaida bila eleveted hata kidogo kwa $180M.
Hiyo Nairobi Express way bajeti yake ni kiasi gani?
Hizi picha nilidhani ni za miaka ya 80 hadi 90 kumbe mpaka sasa zinatumika Nairobi daaaa kaaazi kweli kweli! Huu ujinga Tz hasa mainland tuliachana nao miaka ya early 90s.🤣🤣🤣🤣👇👇👇👇 hzi serious ehhh MUNGU jamani
View attachment 1645367View attachment 1645368View attachment 1645369View attachment 1645370View attachment 1645371View attachment 1645372
Hiki ni kituo cha kuku pia hko kwenuRuksa kiongozi
Usijali subiria kitu kiishe usianze kushtuka mapemaNi panic kwa kipi kwa mfano?
Ukiangalia hayo matairi na hilo tope unapata na picha kamili maeneo au barabara hayo magari yanapopita😂😂Hizi picha nilidhani ni za miaka ya 80 hadi 90 kumbe mpaka sasa zinatumika Nairobi daaaa kaaazi kweli kweli! Huu ujinga Tz hasa mainland tuliachana nao miaka ya early 90s.
Subiri mda utaamuaNi panic kwa kipi kwa mfano?
Mtwara port ni white elephant ama unapinga nikuletee data?We don't have white elephant, sorry for disappointing you[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
There is this saying that "simply because you can do something, that does not mean that you should do it". Mazingira ya Singapore na Kenya yanafanana hasa kwenye drivers ku-abide na sheria za barabarani? Kama hiyo ingekuwa rahisi hivyo mngeendelea kupaka lipsticks kwenye barabara zingine pia wala msingehangaika kukopa fedha kwa ajili ya kujenga mfumo wa BRT. Lakini inaonekana huo mfumo wa kupaka lipstick kwenye lami hamuuwezi ndio maana mmeamua kufuata mfumo wa BRT za TZ ambao unaendana na hali halisi ya watu wetu.Kwani Kenya ndio itakuwa nchi ya kwanza kupaka rangi?[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji1787]This is Singapore[emoji23]
View attachment 1645398
View attachment 1645396
Tony unajua kuwa gharama ya kujenga public transport juu hata mataifa yaliondelea wankwepa?BRT lanes zitainuliwa juu kama tu expressway. Kwani unadhani kazi ya hizo pillars ni nini? Unadhani hizo pillars zinajengwa ili kuwa kivutio cha utalii? Baada ya hizo pillars kusimama basi barabara ya BRT itatandazwa juu yake na kwa hivyo tutakuwa na flyover ya Brt.
Mtwara port is mainly for Dangote cement, Korosho za Mtwara, Coal, LNG na nchi za Malawi, Zimbabwe na Zambia.Mtwara port ni white elephant ama unapinga nikuletee data?
Bomoeni muanze upya kama nyinyi wanaume kweli ???🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hiyo loan itatuzuia kujenga BRT?[emoji23][emoji23][emoji1787]