Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ndio mmemaliza kuandaa mchoro?hadi iishe dar zitakua 10 kama izo
Wewe unaongelea mchoro wakati vitu vinasonga huku chini, here is the progress.
FB_IMG_16071973552682644.jpeg
 
kila mtu ameenda shule anafahamu hilo lakini kimaendeleo Kenya imepiga hatua kuishinda tanzania kwa umbali GDP yenu bado hijafika hata 70 bn Us dollars wakati sisi tuko 109 bn Us dollars
Imepiga hatua gani au unazungumzia GDP ambayo sasa ina 84% debt to GDP ratio🤣🤣
 
Back
Top Bottom