Samantha jade
Member
- Nov 16, 2020
- 29
- 39
Dar sio kijijini kwa Nairobi ni mjini So suala la barabara hakiwezi kua tatizoShow me something like this in your CBD.View attachment 1642440
Show us the true picture of that place. Alafu kitu nimegundua ni kuwa most roads za Dar are not marked.
View attachment 1642425
Huoni hazijakuwa marked?Dar sio kijijini kwa Nairobi ni mjini So suala la barabara hakiwezi kua tatizoView attachment 1642485View attachment 1642486


Kupaka rangi nayo isiwe hoja leta hoja ingine. ..ziko marked sema picha ni ya juu kidogoHuoni hazijakuwa marked?![]()
Kupaka rangi nayo isiwe hoja leta hoja ingine. ..ziko marked sema picha ni ya juu kidogo
Muwekezaji uyo atawakamua miaka 100
Kakojoe ulale...na utopolo wKoMombasa ameshinda Dar in everything except in High-rise buildings and hype.
Blue towers zinakuwasha snaaa...tena vile zimefuatana....Show me KICC in this picture. Nyinyi hamuezipiga picha bila those three blue towers.View attachment 1642420





Nje ya tughorofa na vibarabara vya Nairobi hawana cha maana cha kujilinganisha na TZ kwa miradi inayogusa maisha ya wananchi moja kwa moja. Ndio maana unaona kila baada ya post mbili wanaleta vipicha vya majengo na vibarabara ambazo hta sisi tunajenga tena nchi nzima!Wenzetu wamekazana na majengo cc tumekazana na miradi ya kumgusa mwananchi wa chini kabisa na bado wanaaamini tutakuwa ligi moja, labda Yesu arudi![]()
Wacha kuongea km unauchizi ,unafananish mwanza n ujingamwanza haiwezani nq mombasa hata nusu juu hata kisumu ni kubwa and developed kuishinda watanzania mnaendelea lakini bado miji yenu hamfikii za kenya mwanza mwenzake ni thika au kisii town