Kua misplaced priorities haibadili hata kama cape town wanazingua fact inabaki palepale...mngesolve tatizo la maji kwanza Nairobi ni jiji kuu haitakiwi maji yawe ya msimuSo kwako kujenga barabara is a misplaced priority?! Mbona nyinyi mkajenga sgr wakati Dar haina a reliable sewer system hadi cbd? Is that also misplaced priority? Tatizo la maji lipo hata Cape Town. And then it's not like maji haiko Nairobi, huwa ni shida haswa wakati wa kiangazi coz maji yanayotumika Nairobi come from outside Nairobi.
ExactlyDar inashinda Nairobi kiuchumi?
ndio mimi nashangaa madumu kama handeni kwa wachimba madini.Kua misplaced priorities haibadili hata kama cape town wanazingua fact inabaki palepale...mngesolve tatizo la maji kwanza Nairobi ni jiji kuu haitakiwi maji yawe ya msimu
[emoji23]ndio mimi nashangaa madumu kama handeni kwa wachimba madini.
Kisha ilikua kuna fala hutaka kuilinganisha mombasa na vile vijiji vyao[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mombasa
Mombasa kuzuri kweliKisha ilikua kuna fala hutaka kuilinganisha mombasa na vile vijiji vyao[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
😂 😂 😂 😂Exactly
Na umesahau Dar halina a reliable sewer system? Hadi kinyesi huelekezwa baharini!? Why are you so blind to your own problems while poking holes at ours? 😂Kua misplaced priorities haibadili hata kama cape town wanazingua fact inabaki palepale...mngesolve tatizo la maji kwanza Nairobi ni jiji kuu haitakiwi maji yawe ya msimu
Kabisa, ushasema jombaMombasa kuzuri kweli
😂 😂 😂 umeumia kweli kijana. Nafurahia hii uchungu yako. Tupatie link ya hiyo tafiti hata sisi pia tusome. Ama ni zile links za kutoa utosini??Tafiti zinaonyesha kwamba slum(yaani makazi holela na duni) yamechukua eneo lenye ukubwa wa 453 km² za jiji la nairobi ambayo ni sawa na 62.34 % ya eneo lote,kwa mujibu wa tafiti hizo nairobi ndo jiji la kwanza afrika lenye eneo kubwa zaidi kwa slum.
Mbona poles za umeme hazijaenda zig zag nazo[emoji1787][emoji1787]
Kwhyo tukifuata huo mfano wako nyie hata ndege pia hamfai kununuaUnamzidi mtu kwa planning tu?Dar kulikua na shida sana ya maji ila since Jpm era iyo shida inapungua kwa kasi ya kasi ya mwanga...mnaopt vp kujenga express way wakat maji ndio basic need ya watu na hamna? So nyie mna misplaced priorities
Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Najua leo umeiangali video ya msa kimya kimya[emoji1787][emoji1787]We jamaa sometimes huwa hujielewi, yaani Mombasa ipambane na Kampala? Ulishafika Kampala? Mombasa haifikii hata Jinja unless hujawahi fika Mombasa