Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wakenya wanaoishi Tanzania tunawanyanyasa na kuwafukuza vile tupendavyo[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Dongo kundu bypass is the best,looks like Europe,cant wait for it's full completion+the tree super Bridges, including the great Mombasa gate bridge
Weh mombasa is on another level...dongo kundu itakua game changer kwa kweli itakapokamilika
 
Maendeleo ya kenya,vya zamani vilijengwa na wakoloni wazungu.
Vya sasa hivi vinafadhiliwa na wageni wa asia na ulaya.
kwa kifupi tu maendeleo yenu si ya kujivunia.
tafuteni mchawi wenu ninani na muache kutafuta visababu.mlianza kusema twajenga nairobi peke yake hamkujua tunapiga miradi chini ya maji mombasani.sasa mumelewa kila mahali kenya ni mwendo waktufua vumbi mnaanza sababu zingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…