Kwanza rudia kale msemo sisi tunajenga BRt😅😅😅😅😅
Inajengwa na nani 😅😅😅😅 haya sikieni utumbo sasa hua napenda sana hako kamsemo by the way thanks 🤣🤣🤣Brt inajengwa ila it has never been a priority in Nairobi. That's why we have a commuter rail up and running. Haina hizo sarakasi za brt jinsi ninavyoona hapo dar. Mambo no ustaarabu
Najua unapenda sana kuuliza kuhusu billboards. Furuhisha macho sasaInajengwa na nani 😅😅😅😅 haya sikieni utumbo sasa hua napenda sana hako kamsemo by the way thanks 🤣🤣🤣
Hvi ndivo BRT inajengwa 😅😅😅 munajenga BRT thika highway au munapaka rangi kusema BRT😅😅😅😅Najua unapenda sana kuuliza kuhusu billboards. Furuhisha macho sasa View attachment 1638663
Kwan thika mliamza leo au miaka 3 nyuma 😀😀😀👇😅😅👇Najua unapenda sana kuuliza kuhusu billboards. Furuhisha macho sasa View attachment 1638663
Bwagamoyo port mlianzisha lini?Kwan thika mliamza leo au miaka 3 nyuma 😀😀😀👇😅😅👇
View attachment 1638670
Ushamba haina dawaHvi ndivo BRT inajengwa 😅😅😅 munajenga BRT thika highway au munapaka rangi kusema BRT😅😅😅😅
Its alot of money btw...I meant two million kshs , typing error .
Hizo picha zote ulizopost kuna huduma za BRT,
zenu kuna BRT?