[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23]World bank kukokotoa revenue over population inamake sense ingawa wakiamua kukushusha kwa maslah ya wazungu watafanya wanavyotaka thats why tunasema humu mara kwa mara world bank wakiwa waungwana TZ ni tajiri kuliko wanaturank now.
Pia hata swala la poverty, waoneshe jamii hata moja ya watu wanaoishi kwa povrty kama ilivyo kwenu turkana na nairobi wanakopikia watoto mawe
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23]
View attachment 1638409
Sasa wapi tofauti hapa ?[emoji1787][emoji23]Umeumia sana [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji116][emoji116][emoji116] citizen tv
Nani aishi dar nyumba za mabati wewe. Zamani kwenyewe watu walikua wanakwepa kuishi nyumba ambazo hazikua na ceiling board sembuse ukuta wa bati?Temeke kwenyewe[emoji23][emoji1787][emoji1787]View attachment 1638396
Nani aishi dar nyumba za mabati wewe. Zamani kwenyewe watu walikua wanakwepa kuishi nyumba ambazo hazikua na ceiling board sembuse ukuta wa bati?
Duh vodacom wanatumia logo ya blue!!??..hiyo ni mwaka 1989 mara ya mwisho kutumia hiyo logo ni mwaka 1994..picha za zamani sana,hizo hiace hadi leo kenya zatumika,huku bongo hazitumiki kwa passenger ni kosa kubwa kisheria,kubalini mko nyuma yetu sana😂👆Afadhali hizo zinasafirisha binadamu. Hizi hapa chini sinafaririsha nini? Sokwe? View attachment 1638223View attachment 1638224View attachment 1638225View attachment 1638226
Kumbe unaokota picha hata hujaiangalia unatupia tuEbu nionyeshe ukuta ya mabati kwa hiyo picha[emoji1787][emoji23]
Duh vodacom wanatumia logo ya blue!!??..hiyo ni mwaka 1989 mara ya mwisho kutumia hiyo logo ni mwaka 1994..picha za zamani sana,hizo hiace hadi leo kenya zatumika,huku bongo hazitumiki kwa passenger ni kosa kubwa kisheria,kubalini mko nyuma yetu sana[emoji23][emoji115]
Kuwepo si hoja,hiace zipo hadi america..huku hiace haitumiki kwa public transport,only for private use,huku passengers wanapanda coaster,hiace a.k.a vipanya tumewaachia nyieCity center ndio haziingii ila zipo Tanzania?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] mtu kashakula viboko
Hawana BRT hawawezi kuelewa hata muwaelezeje, wamesahau kama BRT ya bongo ilishinda tuzo, narudia tena HAWANA BRT HATA TUWAELEZEJE HAWAWEZI KUELEWANdio kazi ya BRT na BRT zote duniani ndio kazi yake[emoji2][emoji2][emoji116][emoji116][emoji116] akili za mkenya ni za kimskini sana
View attachment 1638314View attachment 1638315View attachment 1638316View attachment 1638317
Mbona hawaoneshi naona hawalijibu hili.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji116][emoji116][emoji116] siku utapata google earth ikionesha slum dar mm nafunga acc
View attachment 1638405
Ndo maana yake mega city kama hii dar,jiji kuu lenye population zaidi ya million 7 tutumie vipanya,kweli????..haiwezekani,Hadi south Africa wako nyuma yenu sindio?[emoji23][emoji23][emoji1787]