Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kw mimi siwezi nunua kw sababu sina kazi nayo lkn kw wale ambao wana biashara nazo na kumbe zinawafaidi mbona wasinunue
We hutaki kuwa mjasiriamali!? Uwekeze!? Kwenye Taifa hilo la Uchumi wa kati karibia karibia na juu!?
 
Tatizo kila kitu mnaona ligi, haya endelea na yako
Tatizo lako na wewe unapenda ligi.. mimi mashindano sijui.. Mie naburudika tu humu maana hii haziongezi kipato wala kuboresha afya.. πŸ™‚

Sasa wewe uko argument mode always... Hahahaha.

We njoo tule chips... Tuu.. mie kwenye ubishi mvivu ndugu yangu.
 
From a Ghanaian, Infrastructurewise, Nairobi is on another level


Tanzanians, watch this video and learn how to keep a city green
 
[emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115]Kigamboni mnalipa toll fee ya nn km nynyi mnagharamikia miradi kw pesa zenu ili wananchi wafaidi
Tunalipa 2000tsh for a car sawa na 180ksh wakat mchina kawaekea kabisa ushuru wa 600ksh safarii hii mutakunya πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… kwa miaka 30
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…