Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,175
- 107,750
pata picha hii kitu ingekuwa Nairobi! tusingelala humu! Refer mitumba ya Nairobi metrotrain!wanasema hawaoni umuhimu wa kujenga stendi kama hizi.. wakat hapa mtu anaweza akaanza na biashara ya mtaji wa million moja.. baada ya mwaka akawa na mtaji wa million ishirini then akaenda kuongeza biashara nyingine sehem nyingine yake mwenyewe
View attachment 1634624
Kigamboni ni PPP... Kuna fedha za NSSF mule.. sasa unataka zisirudi!?[emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115]Kigamboni mnalipa toll fee ya nn km nynyi mnagharamikia miradi kw pesa zenu ili wananchi wafaidi
ishakua approved..so it will be constructed
Tumia akili buda, kama unatekekeza miradi yenye thamani ya $38B, na umekopa $7B, wakati waliotangulia walitekeleza miradi yenye thamani ya $12B na walikopa $6B, unaweza kuuliza hilo swali lako tena?Basi mbona deni la taifa limepanda maradufu awamu hii
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Only billionaire can afford probox in TzHyo probox inauzwa ksh 900k hku kenya, hzo ni milioni ngapi kibongo bongo[emoji23][emoji23]
Kcb wanamapafu,nmeona wamechukua bancABCYani East Africa ni kama bedroom ya Kenya, we take anything we want. Good job KCB, teka yote[emoji23][emoji23][emoji23]
Treni zao ni matoleo ya vita ya kwanza ya duniaMpya gani wewe tony dunia iankwenda mbele nyinyi munarudi miaka 100nyumaView attachment 1635001
ni yale yale makosa mulioyarudia wenzenu wamezitumia treni miaka 50 nyinyi ndio munazinunua leo 2020 serious[emoji1][emoji1]
View attachment 1635002
Hehehe wanatamani hata New York ingekua ni sehemu ya Kenya wasione vinaeleaKuna mkenya anadanganya watu kule facebook [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 1635021
Huu mradi nashawishika kusema utaisha kwa wakatiSGR - MORO-MAKUTUPORA NI ZAIDI YA 47%
View attachment 1635054
View attachment 1635071
View attachment 1635070
Au nyie Mkisikia PPP mpaka pesa ingine iwe ya mchina!?[emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115]Kigamboni mnalipa toll fee ya nn km nynyi mnagharamikia miradi kw pesa zenu ili wananchi wafaidi
Hyo probox inauzwa ksh 900k hku kenya, hzo ni milioni ngapi kibongo bongo[emoji23][emoji23]
Mmh! Mbona ghali!? Sana kwa hayo matoroliHyo probox inauzwa ksh 900k hku kenya, hzo ni milioni ngapi kibongo bongo[emoji23][emoji23]
Demand bossMmh! Mbona ghali!? Sana kwa hayo matoroli
Shtukeni mnapigwa...
Sasa na wewe Mjanja kabisa si unataka Tawakal unashuka DSM na 11.5mil max 13 mil tunakupatia moja.. unaenda kuvimba!? 🙂Demand boss
Naona luxury kw upande mwngineYesuu[emoji23][emoji23][emoji23]hiyo ni milioni 20 tu buda.
nani huwa anawatia ujinga!!!!!hizo huku kwetu hata hakuna mtu anaweza mention,haikai luxury wala hairuhusiwi kubeba watu kwa baishara,ndio sababu sio nyingi.
popular family car huku ni noah,alphard,hundai H1 hii ni kwa wenye hali nzuri zaidi.
gari za wabishi huku ni LC hardtop.
Emu jaribu kuweka maandishi yako vizuri, sasa hapa umeandika nnSasa na wewe Mjanja kabisa si unataka Tawakal unashuka DSM na 11.5mil max 13 mil tunakupatia moja.. unaenda kuvimba!? 🙂
That will hardly KSh. 600k mpaka na mafuta ya kurudia kabisa 😀 !?
Kw mimi siwezi nunua kw sababu sina kazi nayo lkn kw wale ambao wana biashara nazo na kumbe zinawafaidi mbona wasinunueMmh! Mbona ghali!? Sana kwa hayo matoroli
Shtukeni mnapigwa...