Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

wakenya ni vitu gani mnakubali kuwa Tanzania tumewapita au tunafanya vizuri zaidi yenu? mim kwenu mfano moja naona banks zenu zinajitahidi sana kuliko zetu [emoji112]

leo tujadili hili swala.. kama una mawazo tofauti leta hoja [emoji1736]
Tanzania inazidi Kenya kwa kupokea grants and donations.

 
Hakuna mpaka sasa hvi miradi yote inafadhiliwa na serekali unajua sababu kubwa ile wananchi wasije hangaika na kulipa ushuru kwa mwekezaji [emoji23][emoji23][emoji23]
Basi mbona deni la taifa limepanda maradufu awamu hii
 
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116] Cc Teargas jamaa ka change gear tena[emoji23][emoji23]
Umeona alichokiandika hata anasikitisha
 
Nimeangalia sana kwa makini kwenye kamusi ya kiswahili lakini sijaona neno VENYE. Sijui ulikuwa unaanisha nini hapa.
Imeandikwa wapi kuwa kitu nimeandika hapa lazima ikuwe kwenye kamusi?
 
Hao wamezoea kupata vitu za bure achana naye
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]Cc Teargas jamaa ka change gear tena[emoji23][emoji23]
Umeona alichokiandika hata anasikitisha
Nani ka change gear nimemwambia kenya haina pesa ya kujenga mradi wowote na kama ni ppp ambayo mchina ataishika kwa miaka 30 akiwakamua hapo sawaπŸ˜…πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…