



daah,wangeiacha iishe kabisa ingekuwa poa sanaAnzeni kutafuta kwa kujifichiaView attachment 1634422
Mzigo bado aseee, sehemu nyingi bado finishing hata upande wa umeme nimeona wamevuta waya tudaah,wangeiacha iishe kabisa ingekuwa poa sana
Leo wamesusa, ile report ya better public transport na best destination in the world imewaumiza sn so tutegemee kuwakosa kwa mwezi huu cz bado wanauguza kidondawakenya mliopo humu.. mnasupport BBI au mnaireject?![]()









Magu hataki anaona akikubali hyo hawa contractors watazoea.daah,wangeiacha iishe kabisa ingekuwa poa sana
Hehehheee mm nitaanza kuwatesa ikishakamilika ile barabara ya juu ya kupitisha gari hapoAnzeni kutafuta kwa kujifichiaView attachment 1634422





yanaitwa copy and paste lack of creativity!Majengo ya ramani za wizi!
ni kweli ngoma bado.....Mzigo bado aseee, sehemu nyingi bado finishing hata upande wa umeme nimeona wamevuta waya tu
Kuneboy amefanya kazi kws uoga
maana siku zishaisha,,,contructors wazembe sana....Magu hataki anaona akikubali hyo hawa contractors watazoea.
Kwani ng'ombe za Mombasa wana nyama ya Gold🤣,hapa Nairobi 1kg ni ksh 380Jana kuna mama mmoja toka mombasa alikua anasema 1kg ya nyama kenya ni 500 . Nilikua nashang'aa mbona hela ya kenya kwenye purchasing power haina kitu kushinda ya Tanzania? 500 ya kenya bongo unapata nyama 1kg na mchele 1kg na chenji inabaki




