Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

mamadou sakho mentioning tanzania in his tweet.this happened few days ago when he was here for a vacation.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
409c24ca2b3ba6967561d34511777347.jpg

asante sana mamadou sakho kwa kuitaja tanzania.
 
Haya kumekucha sasa baada ya kunguni na sasa
................................
Screenshot_20170622-184559.jpg
 
Yes. hayuko active Twitter... ali sneak in
siyo kwamba hayupo active twitter.yupo very active but emeona ni ujinga ku-tweet chochote kuhusu kenya.to him kenya is something of no value.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

to prove he is active,two days ago ali re-tweet.
6fd65fa3b3b628155927cf17af7e5cbb.jpg
 
Haya kumekucha sasa baada ya kunguni na sasa
................................
View attachment 528995
Hahahahaha.. Hahahaha... OMG...nimecheka mpaka mbavu zinauma..ndio maana victor wanyama kaja tanzania kukaa mbali na kunguni na kipindupindu cha Nairobi.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
We have our own international celebs in Kenya

In rugby we have
Collins Injera

In football we have
Divok Origi
Victor Wanyama

In athletics we have uncountable.

We have Barrack Obama

Wangari Maathai.....Nobel prize Winner / the greatest environmentalist

Media Tuna former CNN News anchor
Jeff Koinange.....

We have our Oscars Winner Lupita Nyongo


We also have a top five finalist in miss World. ...

kadoda why would i be jealous of the nondescript Tanzanian celebs. ..mmmhh
 
nimepitia tweet zake sijaona popote akiandika neno kenya,nairobi au masai mara.poleni sana majirani.
9366c701ee29160bc4bf51c18959ea60.jpg

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
twitter ni kila kitu kwako...welcome to reality
 
Moja ya hotel za kifahari wanazotumaga apa imefanya yake [emoji2] [emoji2] [emoji2]

Takriban watu 50 wameambukizwa ugonjwa wa kipindupindu kwenye hoteli inayoandaa mkutano wa afya kwenyr mji mku wa Kenya Nairobi.

Maafisa wanaonya kuwa huenda idadi ya walioambukizwa ikaongezeka. Wanasema kuwa wale wote walioambukizwa ugonjwa huo wamelazwa hospitali moja mjini Nairobi.
 
Back
Top Bottom