Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Uzalishwaji wa umeme kwa taifa saizi unasimama katika Megawati 1732 wakati mahitaji au demand ni 1500.

Mradi wa kizalisha umeme uliopo Kinyerezi, nje kidogo ya jiji la Dar es salaam kwa kutumia gesi kutoka Madimba, Mtwara unazalisha/utazalisha kama ifuatavyo:-

1. Awamu ya kwanza. Awamu hii ilijengwa na kampuni ya kiNordic ya Jacobsen Elekro ambapo Megawati 150 zinazalishwa na upanuzi unaendelea kuwezesha Megawati zifike 185.

2. Awamu ya pili inajengwa na kampuni ya Kijapani, Sumitomo na inatarajiwa kuzalisha Megawati 240 itakapokamilika. Awamu hii inaendelea kujengwa.

3. Awamu ya tatu, itajengwa na kampuni ya Shangtan Power ya Uchina kwa gharama ya US$ 450 milioni na itazalisha Megawati 600 za umeme.

4. Awamu ya nne, itajengwa na kampuniya Polygroup ya uchina na itazalisha Megawati 450 utakapokamilika.

Jumla kuu, mradi mzima wa Kinyerezi utazalisha Megawati 1475 ambapo katika hatua ya tatu na nne wakandarasi wamepatikana na bajeti ya mwaka huu 2017/18 imeainisha utengwaji wa hela kuanza ujenzi.

Pia, Shirika la Maendeleo la Taifa (National Development Corporation, NDC) kwa kushirikiana na kampuni ya Uchina, Sichuan Honda wapo katika hatua za kuanza ujenzi wa Mradi wa kufua umeme kwa kutumia makaa ya mawe wa Mchuchuma amabao utaingiza Megawati 350 katika grid ya taifa kupitia njia za msongo mkubwa wa umeme ( high Voltage) na MW 250 kupelekwa katika kiwanda cha kufua chuma cha Liganga.

Ukiongezea na ujenzi wa bwawa la Stiglers Gorge, Ambalo linauwezo wa kuzalisha megawati 2100 pekee yake.

Jumla kuu ya umeme wote kama serikali itamudu kuwekeza na kujenga vyanzo vyote kabla ya mwaka 2020/21 ni:

Kinyerezi=1475
Mchuchuma=600
Stiglers' Gorge= 2100
Jumala ni Megawati 4185 na hapa hujaweka Rusumo inayojengwa mpakani na Rwanza wala zile power facilities zitakazojengwa Lindi eneo la Somanga Fungu na Mtwara pale Mnazi Bay in the near future cz Bomba la Gesi liliachiwa nafasi ya kujenga hizo staffs hapo.

Na kuhusu Uranium, plan ilikuwepo sema serikali ikaona bado haina haja ya kuinvest huko cz kuna renewable energy nyingi sana hatujazitumia kama wind, Geothermal na Solar angalia Jedwali hapa chini kutoka national energy masterpaln:-

0302418d21c611cfacfb4d8cbb92763f.jpg

VISION YA UMEME TANZANIA 2025 NI 10000MW
 
this swahili is first class...kenyans will fathom nothing.
 
Tanzanians ni tu kelele mob.....in Kenya we are never intrigued by celebs.kwani wananyaa dhahabu.....nkt
 
Back
Top Bottom