Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

jeshi la kuiba mikate na sugar kwenye market ........

nahisi kwa ubora huo ndiyo mlichotuzidi,jeshi lenu ni la ajabu sana weakness 4 ever hamtotoka[emoji1787][emoji1787][emoji4][emoji1787]
 
Relax
 

Attachments

  • Screenshot_20201120-175408_1.jpg
    24.4 KB · Views: 20
  • Screenshot_20201120-175838_1.jpg
    42.7 KB · Views: 16
  • Screenshot_20201120-180007_1.jpg
    32.3 KB · Views: 17
  • Screenshot_20200930-083943.png
    309.7 KB · Views: 21
  • Screenshot_20200930-073632_1601440615042.jpg
    62.1 KB · Views: 16
Hahaha Tanzania benchmarks US democracy


Lol. Kwa wale wasioelewa kingereza, hii ndio maana yake.

Civilized countries zinaruhusu observers.
Tanzania pia inaruhusu observers.

Conclusion: Tanzania haiko kati ya nchi ambazo ni 'civilized'.

Matusi meupe mchana. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£
 
Punguza shobo za mitandaoni basi, manake umjuae ndiye kumbe mwenzako siye...

Kaa rada jomba
Ungejibu kiustaarbu tuu punguza Shobo ndio nini ? Sijakutukana wala kukuuliza kwa nyodo

Jamii forum sio yako wala hujatengenezwa wewe kuwa na heshima
 
Ungejibu kiustaarbu tuu punguza Shobo ndio nini ? Sijakutukana wala kukuuliza kwa nyodo

Jamii forum sio yako wala hujatengenezwa wewe kuwa na heshima
Naona sasa umeanza zile taarab zenu, kwn uliitwa hku..we km huna hoja kaba acha kushobokea watu
 
Ww umeichukulia vibaya ....ni kwamba wale jama wanazionaga km nchi za Africa sio civilized ...sasa ni km imemshangaza ...Tz kuruhusu observers
 

Attachments

  • Screenshot_20200929-112949_1601368352676.jpg
    52.5 KB · Views: 18
  • Screenshot_20200929-110752_1601366892470.jpg
    49.4 KB · Views: 20
Wewe ni mpumbavu na kichaa, hivi unaona hapo anaongea kichina? Unaona wivu kisa Tanzania imetajwa kwa sifa nzuri? Mungiki bana πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…