Hata mimi nilipoisoma nilicheka sana, tena muda huo nilikua naongea na haohao mabeberu kwenye MS Teams wakiwa hukohuko Brussels.someni huku [emoji23][emoji23]
Wachangiaji Bunge la Ulaya washauri kukatwa kwa misaada Tanzania https://www.jamiiforums.com/index.p...ashauri-kukatwa-kwa-misaada-Tanzania.1811565/
Hao wanasiasa hisa zao walizowekeza kwenye makampuni yao ya gesi na madini zimeyeyuka baada ya JPM kubadilisha sheria ya maliasili.mkuu hayo ni majadiliano na sio uamuzi.. sioni jambo la maana hapo.. kama ni maelezo watajibiwa na serikali
afu eti wanalalamika kwann hatujafata masharti yao na WHO kuhusu corona .. yan wanataka tujifungie ndan ili tusiendelee na shughuli zetu za siku za uzalishaji?? 🤷🏾♂️
Siasa haikwepeki, yani iko km bomu la nyuklia vile...Ndio mukaona muje na BBi iliokula millions of tax payers[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] two yrs before election mushaanza mambo ya siasa
Kwn hao jamaa unafikiria wanaitegemea tanzania katika maisha yao[emoji23][emoji23]Hao wanasiasa hisa zao walizowekeza kwenye makampuni yao ya gesi na madini zimeyeyuka baada ya JPM kubadilisha sheria ya maliasili. Miradi yote mikubwa ya maendeleo inayofanyika nchini wanapewa wachina, wamisri na wakorea, unafikiri watampenda? Hizo ndiyo sababu za purukushani za punda wakati anakata roho, mambo ya uchaguzi ni sababu tuu.
Huwezi shindana na umoja wa ulaya km wewe nchi yako ni maskini, yani utapigwa ban hadi ushangae..someni huku [emoji23][emoji23]
Wachangiaji Bunge la Ulaya washauri kukatwa kwa misaada Tanzania https://www.jamiiforums.com/index.p...ashauri-kukatwa-kwa-misaada-Tanzania.1811565/
Utapigaje marufuku raia wako kwenda anakotaka, tena kwa pesa yake mwenyewe?Hivi ni vitu JPM hajui madaraka yamemuingia kichwani! Ngoja dhahabu yetu na watalii kutoka nchi za magharibi wapigwe marufuku kuja tuone tutatoka vipi!
Hawa wapuzi hawakuanza leo kuleta ujinga wa kutujadili hata lile bwawa la nyerere waliliikalia kikako [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mzee akalipeleka ivyohivyo...wakajifany mpka kutishia kampuni itakay jiusisha n ujenzi ingekula burnmkuu hayo ni majadiliano na sio uamuzi.. sioni jambo la maana hapo.. kama ni maelezo watajibiwa na serikali
afu eti wanalalamika kwann hatujafata masharti yao na WHO kuhusu corona .. yan wanataka tujifungie ndan ili tusiendelee na shughuli zetu za siku za uzalishaji?? [emoji2377]
Wapuzi tu hao hawanaloloteYaani hadi kujiendesha sisi wenyewe kuhusiana na corona wanatujadili tena.duh wanataka tuwaabudu sana ama
Huwezi shindana na umoja wa ulaya km wewe nchi yako ni maskini, yani utapigwa ban hadi ushangae..
Mabeberu hao jamaa, walee wazee wa kusema magu kawabana mko wapi..
Tunaomba awajibu km yeye ni bulldozer na hayumbishwi[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
Ulipata mtoto wa kike au wa kiume!!?Huyo jamaa au demu ni hovyo kweli Yaani kumjua mtu basi iwe ndo sababu ya kukubali kila kitu. Eti picha anazo sasa si atumie huko chumbani kwake. Yaani jamaa anaona sifa kabisa kua na picha za geza
Vita ni vita Mura.Huyo jamaa au demu ni hovyo kweli Yaani kumjua mtu basi iwe ndo sababu ya kukubali kila kitu. Eti picha anazo sasa si atumie huko chumbani kwake. Yaani jamaa anaona sifa kabisa kua na picha za geza
Ss walitaka tujifungie wkt wa corona kwahyo tukubali eti kisa wananunua dhahabu yetu? Km itashindikana basi wacha wasije tu unajua wazungu ni mashetani sn.Hawataki kuambiwa ukweli wa lijalo! Hii maneno inatupeleka Zimbabwe! kuna watu humu ndani sidhani hata wanajua nani ni main trading partners wetu! EU is among the main trading partner wetu, EU wakituwekea trade sanctions na US anafuata.
Pesa ya bure tamu wewe, walikuwa wanajizolea tuu.Kwn hao jamaa unafikiria wanaitegemea tanzania katika maisha yao[emoji23][emoji23]
Unakumbuka hisa za ACACIA zilivyoporomoka baada ya JPM kuzuia makontena?Yani huaga mnapenda kuweka mpka mbajisahau km mpo duniani wala sio akhera
Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
Msipouana 2022 mm nafunga accnt jf.Mtaomba sana jamii zipigane kw ajili ya uchaguzi km ilivyotokea 2007..
Na kamwe haitowahi tokea, na km ni maandamano hata nyie pemba policcm waliuwa hta uchaguzi bado
Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
Hamna!!yale majadiliano tu, tanzania hawana maslahi nanyi km nchi..usijali, wiki ijayo utasikia taarifa tumepigwa ban!
Hao jamaa wana vitega uchumi sehemu nyingi tena za maana hata kuliko tz...Pesa ya bure tamu wewe, walikuwa wanajizolea tuu.
Unakumbuka hisa za ACACIA zilivyoporomoka baada ya JPM kuzuia makontena?
View attachment 1630287
Tuanze 2013 na 2017, jamii gani zilipigana before tufike 2022[emoji23][emoji23][emoji23]Msipouana 2022 mm nafunga accnt jf.