Huyu mkunya huwa anaumia kinoma kuhusu Tanzania [emoji23][emoji23][emoji23]
Nchi zenye rangi ya blue bahari ziko mbili Africa lakini ameona tu Tanzania.
👇👇👇Huku madaktari wakitishia kufanya mgomo.
![]()
Kenya: Chama cha Madaktari chatishia kufanya mgomo nchi nzima, chatoa siku 21 kwa Serikali
Chama cha Madaktari kimetoa notisi ya siku 21 kwa Serikali baada ya Wanachama 10 kufariki kwa COVID19 katika siku nne zilizopita. Visa 70,245 na vifo 1,269 vimerekodiwa nchini humo Madaktari wanadai Serikali inawaweka kwenye mazingira hatarishi, wamesema wataendelea kugoma mpaka pale Serikali...www.jamiiforums.com
Ngoja tuone kama KQ hamtaondoka na abiria 3 kama awali maana mnapenda kuvaa kiatu kisicho watosha .Nairobi-New York direct flights set to resume on Saturday-Kenya Airways
BY UZALENDO NEWS
Kenya Airways will resume the New York flights this Saturday after a seven-month hiatus occasioned by Covid-19 as the airline opens up more routes following the resumption of the international flights in August.
Chief executive Allan Kilavuka said the carrier has so far recorded a 40 per cent cabin factor load in early bookings for the first trip to the US.
The New York route, which is exactly two years old, is a crucial destination for KQ as the carrier uses its hub at the Jomo Kenyatta International Airport to connect passengers to the US from other countries.
Kenya Airways had forecast its daily direct flights to the US, which it launched for the first time in October 2018, would boost annual revenues by more than 10 per cent in 2019 and 2020.
“We are resuming the New York route on 31st (Saturday) with the first flight so far recording a 40 per cent cabin load,” said Mr Kilavuka on Wednesday.
He said Kenya Airways remained fretful on the impact of US elections on the New York direct flights.
The carrier will initially operate two weekly flights (Wednesdays and Sundays) on the Nairobi-New York route before increasing the frequency to three times a week (Wednesdays, Fridays, and Sundays).
KQ last month expanded its codeshare partnership with the US Delta Air Lines in preparation to the return of New York direct flights.
The extended partnership will link travelers on the direct flights to three new points including the cities of Dallas, Washington DC and San Francisco.
The codeshare offers a one-stop option for travelers from Kenya to other regions in North America.
The direct flights to the US cut the journey to 15 hours and passengers are no longer required to take long layovers in other airports before proceeding to the US.
As of October last year, KQ had completed 594 flights to and from New York, flying at least 105,084 passengers.
The airline had deployed a Boeing 787 Dreamliner jet with a capacity of 234 seats for daily flight to New York.
The national carrier suspended all its operations in March after the government closed the country’s airspace in the wake of the Covid-19 outbreak in Kenya and other parts of the world.
Haya sasa [emoji23][emoji23][emoji23]
Hawa ndio wanataka kushindana na Dar es Salaam kwenye swala la public transport.
$1750 - $ 1080 = $670.Gni yenu haijafika 2000 ni km yetu tu, ss kinachokutia wazimu ni kitu gn? Grow up bhn hz poor reasoning achia wakenya.
Lakini pia tanzania imeshika kasi within 4yrs so usishangae sana kwa hilo na lisikuumize kichwa$1750 - $ 1080 = $670.
Hio ni pesa nyingi sana. Hio sio pesa ya kununua mandazi dukani. Tumewapiga gap
Rika yenu UgandaLakini pia tanzania imeshika kasi within 4yrs so usishangae sana kwa hilo na lisikuumize kichwa
Ss hiyo dollar 670 unanunua nn cha maana? Unajenga nyumba? Unanunua kiwanja? Unanunua gari? Hyo ni pesa ya maandazi tu.$1750 - $ 1080 = $670.
Hio ni pesa nyingi sana. Hio sio pesa ya kununua mandazi dukani. Tumewapiga gap
Hujajib swali nililo kuliza ..au ndio mkibanwa huwa mnajifanya hamjaona sio?$1750 - $ 1080 = $670.
Hio ni pesa nyingi sana. Hio sio pesa ya kununua mandazi dukani. Tumewapiga gap
Mda mwingine huwa unaongea kama mtu , ila sijui ni mashetani ya kwenu yakipanda unakuwa mropokaji toka ushago[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Rika yenu Uganda
Swali gani? sijaliona.Hujajib swali nililo kuliza ..au ndio mkibanwa huwa mnajifanya hamjaona sio?
Kwa hivyo huko kwenu ambapo serikali yenu inawapa shamba bure bilashi huwezi kununua shamba kwa $670? Huko kwenu unapata shamba hata kwa $500.Ss hiyo dollar 670 unanunua nn cha maana? Unajenga nyumba? Unanunua kiwanja? Unanunua gari? Hyo ni pesa ya maandazi tu.
BTW nimefurahi kuona kuwa umegundua kuwa wote tupo kwenye 1000s na hapo uchumi wa tz ndiyo wa kweli nyie wenu ni wa karatasi kiasi kwmb GoK haiwezi mudu kutosheleza wakenya food stuffs, what a shame.
Kuna tofauti kati ya shamba na kiwanja.Kwa hivyo huko kwenu ambapo serikali yenu inawapa shamba bure bilashi huwezi kununua shamba kwa $670? Huko kwenu unapata shamba hata kwa $500.