Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hahaha!!mambo ya hillary na kuhusu watanzania kuminywa kujieleza au kudai haki zao yanahusianaje...

Hapa tunaongelea kuhusu bongo, mtu anaweza timuliwa kazi na akrudi kulima mihogo bila hata ya kujaribu kwenda mahakamani..
Cha Mtu Mavi... Tafuta chako usiaibike

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Ndio manake mnaburuzwa basi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Rais akisema hoyeee, ndio yake matatizo ya kutosoma mikataba..
Watanzania bana, huo uvivu wenu ndio unawaponza..
 
Huyo niachie kwa leo naskia baridi plz niachie kwanza nimalizane nae [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bora akatulia tu!!manake akija huyo mjinga mwenzio atakuja kujaza ujinga na wewe uanze kujitoa ufahamu mvuruge mada
 
Siri kivipi na wakati biden aliposhinda tuliona watu wameingia barabarani kusherehekea matokeo..
Sasa njoo kw jiwe hata wale ccm damu walishindwa kuingia barabarani kisa policcm wasi wamistake na CHADEMA wakavunjwa miguu
Wananchi wanashangilia Matokeo yaliyotangazwa na wasimamizi wa uchaguzi.

We unataka kuandamana kupinga matokeo unatoa wapi matokeo yanayokufanya upinge!?

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Mbona unateseka, km hataki na chake basi na mie nabaki na ujuzi wangu...
Km ananihitaji lazima mikataba tutie sahihi
Tena ya kuaminika wala sio ya kikoloni koloni
Exactly

That's our moto! Walikuja na meli huwa wanasema "Its your Loss"

Watanzania tunalijua hilo taaangu enzi. Ukinifukuza kwako fresh tu.. ili usiniingilie kwangu ...hata ungekuwa na sharubu kama kambale utakaa!

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Mishahara haijapanda tangu 2015 [emoji736]
Wastaafu hawajalipwa pensheni zao [emoji777] Wamelipwa na wanalipwa kama kawaida
kwa kikokotoo kilichopo

Kodi ya mishahara ilipunguzwa kidogo kwa mwaka huu wa fedha ulianzia July mosi So kodi iliopanda sijaijua unzungumzia ipi...

Watumishi hawajagoma kutokana na mazingira yaliyopo...Mh alishasema ataongeza kwahyo wakaushe na asietaka kazi aache...Watu waliopata kazi sehu zenye maslahi zaidi wamesharesign siku nyingi
 
Sisi hku tunasema usikubali kuchengwa, na ikitokea umechengwa basi na wewe mtafutie time umchenge..

Yani kwetu tunaenda kimusamusa, hamna cha kuachia kitu kiulaini..hakuna kitu eti mimi ndio nakuhitaji wewe, ila kila mtu anamhitaji mwenzie..upo?
 
Sisi hku tunasema usikubali kuchengwa, na ikitokea umechengwa basi na wewe mtafutie time umchenge..

Yani kwetu tunaenda kimusamusa, hamna cha kuachia kitu kiulaini..hakuna kitu eti mimi ndio nakuhitaji wewe, ila kila mtu anamhitaji mwenzie..upo?
Huku tunaamini kama sio chako huna sauti.
Na ukiwa na chako punda yeyote hana kelele...

I don't have to tell you that... It's obvious. Hata Uhuru knows

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…