Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

oyoo michigan wanaenda kumpunzisha Trump urais
IMG_1604492072.032936.jpg
IMG_1604492090.267547.jpg

35,000 votes count difference!
 
Hapa jamaa wmeniacha kwani wanahesabuje kura hawa jamaaaView attachment 1619442
Kura zao ziko-calculated based on number of residents in a state and that number of residents determines the number of electroral votes a reason the Eastern side of the US has many electoral votes though their states r small r having many residents as that side is more populated!
 
So mpaka hapo nani anaongoza
 
So mpaka hapo nani anaongoza
so far Bidden anaongoza kwa tofauti ndogo ya 238 to 213 za Trump ila kuna majimbo kama 8 ambayo bado wanabanana na ili kushinda Urais unahitaji kushinda electoral votes 270! Wote wanalimezea mate jimbo la Pennslyvania lenye electoral votes 20 maana utaratibu wao ni winner takes all japokuwa Trump anaongoza kwa 56% kuna kura za barua 1.7 mln hazijahesabiwa! Na kwa vile wengi wamepiga kura kwa mfumo wa barua kuhepa Korona inasemekana itachukua muda kupata mshindi kwa ujumla maana kuna rundo la barua za kuhesabiwa!

Swags za Arusha ni pamoja na Subaru fanatics, bike fanatics, dressing codes zao na mengine yanayopatikana huko kwa upekee
Acha ushamba wewe, wataka kulinganisha subaru gang ya nai na arusha kwel..
We jamaa huaga unajiskiza
 
Hapa jamaa wmeniacha kwani wanahesabuje kura hawa jamaaaView attachment 1619442

kwa kiswahili.. rais anachaguliwa kupitia Electoral vote (mim naziita kura za majimbo).. ataepata zaid ya 270 ndo mshindi.. hizo kura nyingine zinaitwa popular vote (kama hizi zetu kwa bongo, ila hazina faida)

hizo kura za majimbo zimegawanywa sawa na idadi ya watu ndani ya jimbo.. roughly one electoral vote represents about 280,000-320,000 voters

in addition, mwenye popular vote nying kweny state ndo anapewa electoral votes zote ya state
 
Unfortunately turnout ya vijana is disappointing this time si kama kipindi cha Obama! ndo maana the Presidency is still for taking!
Acha tusibirie tuone km kufikia kesho atatoka manake hatuwezi jua, lolote linaweza kutokea
 
kwa kiswahili.. rais anachaguliwa kupitia Electoral vote (mim naziita kura za majimbo).. ataepata zaid ya 270 ndo mshindi.. hizo kura nyingine zinaitwa popular vote (kama hizi zetu kwa bongo, ila hazina faida)

hizo kura za majimbo zimegawanywa sawa na idadi ya watu ndani ya jimbo.. roughly one electoral vote represents about 280,000-320,000 voters
Kw wazungu huo mfumo unawafaa hta km una changamoto zake, ila hku kwetu afrika tusubiri sana..
Kwanza wakiileta hku kwetu hao wazee wa kazi watakua km mabeberu, unatishiwa ufanye wanavyotaka au next election wakuangushe
 
Back
Top Bottom