The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,667
- 98,999
Nashukuru sana kwa kunielewa mkuu, ni kwamba hata Maraisi wetu tunapaswa kuwalipa mishahara mikubwa pengine kuliko hata marais wa mabeberu ili wawe wazalendo na mali zetu, unajua tatizo letu waafrika tumeharibiwa na hii elimu yetu ya darasani eti utakuta mtu msomi wa Phd anahubiri demokrasia wkt hata yeye mwenyewe haiwezi hyo demokrasia.Ili uwe na demokrasia ya kweli pamoja na mengine yote.. Lazima uwe na watu "Wazalendo wa kweli" watakao simama kuitetea kweli misingi ya demokrasia hiyo.... Haijawahi kutokea duniani na haitokaa itokee kuwa na Wazalendo Masikini.
Vitabu vya dini vyenyewe vinatoa ruksa kuiba au kuvunja sheria za dini kupoza njaa.
Tujikwamue kwanza kisha tugeukie demokrasia.
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Mm kitu kinaniuma ni kumkosa Lissu kwenye taaluma yake lkn co kwenye uraisi hatoshi, yn kwa kifupi Lissu hawezi kuwa raisi wa Tanzania wkt Jpm yupo cz japokuwa Lissu ni genius but Jpm ni genius zaidi yake so asubiri Jpm amalize mda wake ndo naye ajaribu bahati yake, tatizo linakuja kwamba watz tunamuona co mzalendo yn hatuna imani naye tena kwa ss.Utakuta lijitu limekaa na ndevu zake linadhani tindu lissu angeweza kuwa raisi,kamwe haitakaa itokee
Ni very tricky namna ya kuiweka hii..Nashukuru sana kwa kunielewa mkuu, ni kwamba hata Maraisi wetu tunapaswa kuwalipa mishahara mikubwa pengine kuliko hata marais wa mabeberu ili wawe wazalendo na mali zetu, unajua tatizo letu waafrika tumeharibiwa na hii elimu yetu ya darasani eti utakuta mtu msomi wa Phd anahubiri demokrasia wkt hata yeye mwenyewe haiwezi hyo demokrasia.
Hao walioianzisha tu hawaiwezi itakuwaje cc waafrika? Kwa jicho langu la mbali natamani ifike wakati WaTz tuamue kuwa na huyu rais kwa muda mrefu japo miaka 30 hv na tumlipe mshahara mkubwa zen atusafishie hii nchi cz haya mambo ya kupoteza zaidi ya bilioni 300 kila baada ya miaka 5 kwa kisingizio cha demokrasia ni upuuzi mtupu.
Angalia hzo pesa tulizopoteza kwa ajili ya uchaguzi wakati kila mtu alijua kwamba nn kitatokea je zingetengeneza barabara za urefu wa kilomita ngp? Km tungesema tununue dawa zingekuwa tani ngp? Je tungeokoa WaTz wangapi ambao wamekufa kwa kukosa dawa?
Tufungue macho waafrika tupambane na njaa kwnz km wao walivyopambana zen waliposhiba ndpo wakaingiza hyo demokrasia kwamba kila mtu ana haki ya kuwa raisi, but kuanza kuingiza demokrasia wkt tuna njaa haiwezekani narudia tena haiwezekani cz demokrasia haiwezi ku operate kwenye njaa.
Your too blind to feed someone.... just awaste of timeI don't spoon feed idiots
Kiswahili ni shida kwako ...nimesema niweke hapa interchanges za kenya ...ila sio flyovers...huwez achaWacha kutapatapa ww weka interchanges za Tanzania mm nitaweka za kenya mbna uweke za kenya ww c mkenya
Kama uko tayari anza Kama unataka pia flyover pia Sema
Your fool as it seems....just waste of timeMwenye nchi ni magufuli tulia awaongoze [emoji23][emoji23][emoji23]
Ni puzi tu..anajifany kujua ..kumbe ni garasha tuNilitaka niwaambie hv hv ila nikaona ni mkenya huyo so upumbavu kaumbiwa, mshikilie hvyo hvyo japo hatoleta.
We Geza nimegundua unamawazo ya kitoto sana.endelea kujidanganya! Tanzania ikipigwa ban ya kuto-export US and EU, tumekwisha Zimbabwe inafanya biashara na China zaidi ya mwaka wa kumi na hawajaweza kujikwamua kwenye hali mbaya ya uchumi! Mchina alijeuka kuwa mnyonyaji baada ya kung'amua yeye pekee ndio soko la Zimbabwe. Hata hizi nchi za jirani tunazofanya nazo biashara zitajeka mabeberu!
Mkuu, Mbona hilo darasa usimpe tu apa pia kwa manufaa ya wengine wetu?We Geza nimegundua unamawazo ya kitoto sana.
Either huna exposure au huijui Tanzania vizuri wewe.
Kwanza EU never ever do sanction to Tanzania. Na wanajua wakifanya hivyo tayari China itaongeza business Africa.
Tanza has influence kwenye nchi nyingi barani Africa.
Nadhani wewe umezaliwa miaka ya 90s or 2020s
Nimefuatilia kwa ukaribu sana comments zako, zimejaa utoto mwingi.
Bahati nzuri kuna jamaa yangu anakujua, nitamuomba anikutanishe na wewe Vila wewe kujua nikuone physically na kujadiliana na wewe nione uwezo wako wa kujua mambo.
Ni hayo tu.
🙂Mkuu, Mbona hilo darasa usimpe tu apa pia kwa manufaa ya wengine wetu?
Tatizo mnamsulubu Geza Ulole kwa kuwa na mawazo tofauti na yenu hii inazidi kudhihirisha jinsi tolerance haimo Tz!
Kuna mawazo na upotoshaji ni vitu viwili tofauti.Mkuu, Mbona hilo darasa usimpe tu apa pia kwa manufaa ya wengine wetu?
Tatizo mnamsulubu Geza Ulole kwa kuwa na mawazo tofauti na yenu hii inazidi kudhihirisha jinsi tolerance haimo Tz!
Naona kwa mbaalii Geza anaenda kuwa against na cc [emoji3][emoji3][emoji3]We Geza nimegundua unamawazo ya kitoto sana.
Either huna exposure au huijui Tanzania vizuri wewe.
Kwanza EU never ever do sanction to Tanzania. Na wanajua wakifanya hivyo tayari China itaongeza business Africa.
Tanza has influence kwenye nchi nyingi barani Africa.
Nadhani wewe umezaliwa miaka ya 90s or 2020s
Nimefuatilia kwa ukaribu sana comments zako, zimejaa utoto mwingi.
Bahati nzuri kuna jamaa yangu anakujua, nitamuomba anikutanishe na wewe Vila wewe kujua nikuone physically na kujadiliana na wewe nione uwezo wako wa kujua mambo.
Ni hayo tu.
Unaona hili wazo? Tayari umefanya iwe ni TEAM A VS B. Hapa ndipo mnakosa! You all can't agree to disagree!Naona kwa mbaalii Geza anaenda kuwa against na cc [emoji3][emoji3][emoji3]
Kwani Zimbabwe wanafanya biashara na nani sasa? baada ya sanctions za the US n the EU? Na hali yao ikoje? Na Sudan kipindi cha Bashir je? Who was Sudan'so sole remaining trade partner?We Geza nimegundua unamawazo ya kitoto sana.
Either huna exposure au huijui Tanzania vizuri wewe.
Kwanza EU never ever do sanction to Tanzania. Na wanajua wakifanya hivyo tayari China itaongeza business Africa.
Tanza has influence kwenye nchi nyingi barani Africa.
Nadhani wewe umezaliwa miaka ya 90s or 2020s
Nimefuatilia kwa ukaribu sana comments zako, zimejaa utoto mwingi.
Bahati nzuri kuna jamaa yangu anakujua, nitamuomba anikutanishe na wewe Vila wewe kujua nikuone physically na kujadiliana na wewe nione uwezo wako wa kujua mambo.
Ni hayo tu.
Kuna mawazo na upotoshaji ni vitu viwili tofauti.
Kama hujui kitu na kujifanya unakijua basi watu husema wewe ni MPUMBAVU.
Tanzania imekuwepo tangu na tangu. Tanzania ina historia kubwa na kuna mambo mengi mmno.
Sasa mtu anaungana na watu wasio ijua Tanzania na mupotosha umma tutamwitaje!?
Mtu anajifanya kujua huku hajui chochote ni upumbavu uliovuka mpaka.
Sasa kwa mawazo yake anafikiria Tundu Lissu angeshinda!?
Je, Tundu Lissu jimbo lake pekee limemshinda kila kumicha kutafuta umaarufu, na kuacha kuwatumikia wananchi waliomchagua, atawazeza kuongoza nchi!?
Anakuja na vimawazo vya kitoto.
Uzuri wa china hawanaga longolongouna lingine?
Chinese Foreign Minister
Director General, African Affairs