Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,226
- 107,851
Mm nilikuwepo ktk kuhesabu kura ilikuwa wazi kabisa hakuna wizi wwte, ktk maeneo mengi mambo yalikuwa wazi kabisa, huenda ccm pia walijiandaa kwa njia yoyote lkn wakashangaa kuona wananchi walijiandaa kuangusha upinzani kuliko ccm.
Geza buanangoja sanctions sasa toka EU and the US!
geza mm nakukatalia kwa asilimia 100 nimekua mhudhuriaji sana wakupiga kura ila awamu hii upigaji kura ulikua very open na hata uhesabu wa kura ulikua open eti wanazusha mawakala waliotolewa huo ni uongo mkubwa sana hakuna wakala alietolewa wa chama pinzani na sahihi zao zipo kila kituo hata kabla ya kufungu sanduku halifunguliwi mpaka mawakala wote wawepo na kukubali na wanasaini mm nimeshuhudia kwa macho yanguutakuja kuelewa subiri kwanza kuna vitu vingi sana havikuwa sawa
Mkuu aibu inatokea wapi hapo wakati asilimia kubwa ya wananchi wamechagua wenyewe?Ngoja tuone kaka ila tuko kwenye hatari ya vikwazo vya uchumi huu uchaguzi ni aibu!
yes hata mm nimeona uwazi kabisa, ni ngumu sana kuiba kuraMm nilikuwepo ktk kuhesabu kura ilikuwa wazi kabisa hakuna wizi wwte, ktk maeneo mengi mambo yalikuwa wazi kabisa, huenda ccm pia walijiandaa kwa njia yoyote lkn wakashangaa kuona wananchi walijiandaa kuangusha upinzani kuliko ccm.
Mkuu aibu inatokea wapi hapo wakati asilimia kubwa ya wananchi wamechagua wenyewe?
Geza anafeliGEZA huyu Ansbert Ngurumo hupost video, picha zisizo na uhalisia. Yuko Twitter na blog yake ya Sauti Kubwa.
Mimi nipo Twitter pia na Acc yangu ni: @KipepeComrade.
Hao ni wasambaza propaganda, huwezi chukua video zao kama reference. Wakati wa Corona Walipost video za mji was Ecuador na kusema ni Dar es salaam.
mark my words utakuja kuniambia, election ya mwaka huu ulikua safi sana
Geza anafeli
upinzani wa safari hii umeshindwa hata kujitetea kwasababu wamejua safari hii wamepigwa kihalali kabisaGeza anafeli
na kuna vijana wengi sana hawakupiga kura wakat majina yao yalikuwepo vituo vya kupiga kura, na miaka yote vijana sio wapigaji kura hili hata usishangaeSina uzalendo wa kifalafala niko kusimamia fair play! Ushindi wa mazabe na kura za maharuabi si huka yangu! Kuna habari vijana wengi chini ya miaka 35 wameshindwa kupiga kura kwavile majina yao hayajaonekana pia wasimamizi wengi wa vituo vya kura wa upinzani kuenguliwa!
LOL yaani unamdai Magufuli maendeleo?Magufuli ni binadamu kama binadamu wengine na hufanya makosa pia.
He's not perfect at all, itoshe kusema ameharibu huu uchaguzi 100% kwa tamaa yake ya kushinda kwa kishindo. Haya sasa alitaka Bunge liwe CCM tupu + madiwani amepata, haya tuone Maendeleo sasa.
Geza buana
Kumbe na wewe unaweza kuwaza hivi?
pia kuna janga ya ku-switch majina na vituo ushenzi huo haukufanyika Dar as such nenda mikoani uambiwe!na kuna vijana wengi sana hawakupiga kura wakat majina yao yalikuwepo vituo vya kupiga kura, na miaka yote vijana sio wapigaji kura hili hata usishangae
Huyo aliekamatwa na hizo kura yupo wapi? Hata zile waliokua wakizichoma haonekani aliekamatwa nazo, Hakuna red-handed evidence at all
Kama Magufuli kaiba kura angedakwa na malori ya kura, huwezi kuniaminisha eti mtu anapitwa kwa kura kwa malaki, a nakuja na kaushahidi cha kura 20 never, ni mbinu ipi imetumika kupitisha kura zingine kwa maelfu imebumba kwenye hizo kura 20?Me naamini magufuli angeshinda bila haya mabegi ya kura.
Ila sielewi ni nini mantiki ya ushindi wa kishindo unaotafutwa??
Nandhani huu ni upinzani dhaifu zaidi kuwahi kutokea.
Hakuna kitu kama hicho japo kingetokea ningefurahi sana.Baba anaenda kuondoa term limit! Na term inaenda kuwa miaka saba.