joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
Nenda Eastern DRC ukajionee jinsi kulivyochangamka, makampuni kutoka South Afrika na wachena yamevamia kwa wingi sana.Kwani DR Congo wameanza kuunda meli? Maajabu ya Musa haya.
Hiyo meli ni ndogo sana ukilinganisha na MV Mwanza, Hapa kazi tu, labda ni Nusu yake. Hata hiyo bei uliyotoa ya Tsh 60B, pia umewaheshimu, Actually hiyo muundo wake ni kama meli za Azama marine boatKwani mtu mmoja ana uzito gani? Give it 100 kg *600 = 60 tons! 60tons +2500 tons =2560 tons! I estimate to be a 3000 tons cargo ship! Kuna ya cargo 3500 tons yaja!
So what!? Where is it!? Kwenye makaratasi. Naona video hiyo imekuuma sana.Sisi watu wa Two Rivers, biggest mall in East and Central Africa and top ten biggest in Africa, unatuwekea hiki kidude Mlimani city? Kweli dunia imepasuka mahali.
Dah!! Wabongo!!! Siwawezi!!!Hiyo meli ni ndogo sana ukilinganisha na MV Mwanza, Hapa kazi tu, labda ni Nusu yake. Hata hiyo bei uliyotoa ya Tsh 60B, pia umewaheshimu, Actually hiyo muundo wake ni kama meli za Azama marine boat
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Nilidhani DRC ni complete shit-hole. Ni vipi wanaweza kuunda meli?ona huyu nae!! wabishi walewale!
Ni kweli ni muhimu kupongeza nchi mahali ambapo imefanya vizuri.Kitu ninachofurahia ni kwamba, siku hizi ile mijadala ya chuki na kukwaruzana hapa JF imepungua sana, sasa hivi unaweza kuona jinsi watu wanavyoweza kubadilishana maoni tofauti toka pande zote mbili.
Ni kawaida sana kuona watanzania wakipingana wenyewe kwa wenye kwa kujenga hoja bila kujali kwamba wanatoka nchi moja, hiyo ndio maana ya Uhuru wa mawazo " Independence of thought". Ila inaonekana sio rahisi kwa wakenya kutokana na mazingira ya nchi yao kugubikwa na ukabila na ukanda.
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Kuna city gani kubwa Eastern DRC? Si huko ndiko wanauana kila siku?Nenda Eastern DRC ukajionee jinsi kulivyochangamka, makampuni kutoka South Afrika na wachena yamevamia kwa wingi sana.
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Sasa mbona unakua haupo huru kwa kuogopa kuonekana msaliti?, unapaswa uwe huru katika kutoa mawazo yako bila kujali nchi au kabila unalotokaNi kweli ni muhimu kupongeza nchi mahali ambapo imefanya vizuri.
80% ya utajiri wa DRC upo Eastern DRC, kule Kinshasa kazi yao kubwa ni kucheza muziki tu. Lubumbashi, Mbujimayi, Goma, Katanga, Hiyo ndio mikoa yenye utajiri wa DRC.Kuna city gani kubwa Eastern DRC? Si huko ndiko wanauana kila siku?
@Tony254 badili jina Kwanza achana na hizo jina tasa hazijulikani ni jinsia gani kunawana music marekani aliimba wimbo wa "an break my heart" alikuwa anaitwa Tony Braxton Kama sijakosea jina ni demu hilo jina tumesha waachia kina Asha achana nalo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] [emoji117]komora096 njoo uchukue jina lako hukuYetu ni ya diesel. Hakuna train ya diesel sura nzuri. Tukiweka umeme basi treni zetu zitakuwa na sura nzuri.
punguzeni dharau na kudhani nchi zingine hazina kitu toeni akili chafu ya kufkiri nchi zingine ziko 90s wakat sasa hvi ndio kuna ushindani mkubwa wakimaendeleoNilidhani DRC ni complete shit-hole. Ni vipi wanaweza kuunda meli?
Kama ni hivyo basi mbona nyie Wabongo hamjachangamkia fursa hio? Niko 100% sure kama Kenya ingekuwa inapakana na sehemu tajiri kama hio tungewatawala hao watu sana. Tungefanya nao biashara kwa wingi tu. Hata tungeunda meli nyingi zamani tu na kutrade na wao. Barabara pia ingetandikwa zamani tu. Sasa nyinyi siwaelewi hata kidogo. Mbona mnazubaa sana?80% ya utajiri wa DRC upo Eastern DRC, kule Kinshasa kazi yao kubwa ni kucheza muziki tu. Lubumbashi, Mbujimayi, Goma, Katanga, Hiyo ndio mikoa yenye utajiri wa DRC.
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Sasa wewe shoga mbona usiliwe nyuma kwa amani? Mbona unakuja kusumbua watu huku? Huko danguro hakujafunguliwa bado?@Tony254 badili jina Kwanza achana na hizo jina tasa hazijulikani ni jinsia gani kunawana music marekani aliimba wimbo wa "an break my heart" alikuwa anaitwa Tony Braxton Kama sijakosea jina ni demu hilo jina tumesha waachia kina Asha achana nalo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] [emoji117]komora096 njoo uchukue jina lako huku
Ondoa ushamba. Maisha hayaishii leo wala kesho.Kama ni hivyo basi mbona nyie Wabongo hamjachangamkia fursa hio? Niko 100% sure kama Kenya ingekuwa inapakana na sehemu tajiri kama hio tungewatawala hao watu sana. Tungefanya nao biashara kwa wingi tu. Hata tungeunda meli nyingi zamani tu na kutrade na wao. Barabara pia ingetandikwa zamani tu. Sasa nyinyi siwaelewi hata kidogo. Mbona mnazubaa sana?
Umesahau magari 50Kwani mtu mmoja ana uzito gani? Give it 100 kg *600 = 60 tons! 60tons +2500 tons =2560 tons! I estimate to be a 3000 tons cargo ship! Kuna ya cargo 3500 tons yaja!
DRC ni failed state km zilivyo zingine including kenya so usiidharau kihivyo mana hata kenya nayo inafanya miradi.Nilidhani DRC ni complete shit-hole. Ni vipi wanaweza kuunda meli?
HII NI NAIROBI?? DASALAMA TUPA KULEEEEE
Nilidhani DRC ni complete shit-hole. Ni vipi wanaweza kuunda meli?
Na hili ndio tatizo lenu kuu, hivi mbona wakenya mnapenda kujiona mpo mbali sana? Kwanini mna dharau wakati ninyi ndio takataka ya mwisho? Kwanini uone nchi nyingine ni shithole from the first place? Yaani kwanini uwe na hiyo mentality kabla ya kuface reality?Nilidhani DRC ni complete shit-hole. Ni vipi wanaweza kuunda meli?