Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

ichoboy01

JF-Expert Member
Mar 6, 2017
60,120
2,000
leo Yosef Festo umebakia kurusha ngumi za hewani πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ nataka kukuonesha kua mombasa weww huna cha kunidanganya mm na nilikwambia wadanganye hao sio mm πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

nakupa siku mbili ukipata majibu nitag mm nifunge acc jamii forum
 

ichoboy01

JF-Expert Member
Mar 6, 2017
60,120
2,000
Manze.... amepost picha za Morogoro nikashangaa sana. Kamulu in Machakos county looks far much better


so unataka ka video kamepigwa sehemu nzuri ndio unaleta humu so kesi ya naivasha tumemalizana nayo ni sawa??πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kwamba naivasha hakuna vibanda lakini sio ile nayoijua mm
 

Gwizzy

JF-Expert Member
Nov 5, 2018
573
1,000
so unataka ka video kamepigwa sehemu nzuri ndio unaleta humu so kesi ya naivasha tumemalizana nayo ni sawa??πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kwamba naivasha hakuna vibanda lakini sio ile nayoijua mm
Hakuna sehemu mzuri hapo.... that is the whole of Kamulu, Joska and Ruai areas in totality. And it looks far much better than Morogoro based on these pictures you posted below:
2597103_A94FEE32-DCA1-48F7-822A-C572C2F17A29.jpeg
2597104_CE26C5F7-01F9-4562-B3D3-DA3F766AB3B3.jpeg
2597105_94BC8B6D-983D-4AA6-878C-CF3D5A7937E7.jpeg
2597106_8766D32E-D4C6-4067-90D0-1D54DF9F5D53.jpeg
 

Gwizzy

JF-Expert Member
Nov 5, 2018
573
1,000
yet kenya nzima imajaa na slums so hii google earth inawaonea nyinyi tu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
I know Kibera ni Kenya nzima according to you. Slums are there no one has disputed that. The only difference is that they don't form 80% of our towns and they are in specific locations not scattered all over.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom